Kudoba wepo baaah
Senior Member
- May 12, 2024
- 155
- 461
Natoka kwa hasira baada ya kunikwaza na kwenda zangu nje au mtaani kidogo kutuliza munkari. Ile narudi tu nakutana na tego la haja la msambwanda basi makosa yanasahaulika au kusamehewa hapo hapo. Hii hali siipendi maana naona kama itakuja kuniathiri huko mbele.
Msaada wehu tafadhali wadau.
Msaada wehu tafadhali wadau.