Naomba msaada; kila akinikosea ananitegeshea sambwanda na ugomvi unaisha!!

Naomba msaada; kila akinikosea ananitegeshea sambwanda na ugomvi unaisha!!

PLEASE WAIT ......
jjj.png
 
Natoka kwa hasira baada ya kunikwaza na kwenda zangu nje au mtaani kidogo kutuliza munkari. Ile narudi tu nakutana na tego la haja la msambwanda basi makosa yanasahaulika au kusamehewa hapo hapo. Hii hali siipendi maana naona kama itakuja kuniathiri huko mbele.

Msaada wehu tafadhali wadau.
Hawatakagi kusema neno "nisamehe". Ndo njia hiyo ya kukubali kakosea anataka msamaha.
 
Kuna wanawake ukiwa nao Kwenye mahusiano suala la kuachana sahau mara nyingi ukute wa kawaida lkn mnavibe sana, mzuri ana Tako lkn kila siku miyeyusho au uliedate nae Kwa mda mrefu
 
Natoka kwa hasira baada ya kunikwaza na kwenda zangu nje au mtaani kidogo kutuliza munkari. Ile narudi tu nakutana na tego la haja la msambwanda basi makosa yanasahaulika au kusamehewa hapo hapo. Hii hali siipendi maana naona kama itakuja kuniathiri huko mbele.

Msaada wehu tafadhali wadau.
Huyo Ni mwanamke Hasa inabidi akazie aweke Shukla ndogo us kujifunika siku mkikwazana🤣
 
Back
Top Bottom