Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama NIDA walisha badili, aende mahakamani kama walivyomueleza. Ni utaratibu wa kawaida kwa Bank.SUMMARY:
Jambo liko hivi, mhitimu wa kidato cha sita wa mwaka huu 2023 baada ya kuanza kufanya maombi ya Mkopo wa chuo kikuu alifungua akaunti ya benki kama yalivyo matakwa ya Bodi ya Mkopo wa Elimu ya juu (HESLB)...