NGOSWE2 JF-Expert Member Joined Dec 19, 2013 Posts 1,323 Reaction score 1,608 Oct 30, 2023 #2 iMute said: SUMMARY: Jambo liko hivi, mhitimu wa kidato cha sita wa mwaka huu 2023 baada ya kuanza kufanya maombi ya Mkopo wa chuo kikuu alifungua akaunti ya benki kama yalivyo matakwa ya Bodi ya Mkopo wa Elimu ya juu (HESLB)... Click to expand... Kama NIDA walisha badili, aende mahakamani kama walivyomueleza. Ni utaratibu wa kawaida kwa Bank.
iMute said: SUMMARY: Jambo liko hivi, mhitimu wa kidato cha sita wa mwaka huu 2023 baada ya kuanza kufanya maombi ya Mkopo wa chuo kikuu alifungua akaunti ya benki kama yalivyo matakwa ya Bodi ya Mkopo wa Elimu ya juu (HESLB)... Click to expand... Kama NIDA walisha badili, aende mahakamani kama walivyomueleza. Ni utaratibu wa kawaida kwa Bank.