E Eddy Elphazi Member Joined Aug 16, 2020 Posts 8 Reaction score 9 Nov 5, 2021 #1 Naomba kufahamu bei za kreti za bia tofauti tofauti kutoka kwa wauzaji wa jumla. Nitashukuru.
Zedude Senior Member Joined Jun 10, 2021 Posts 171 Reaction score 387 Nov 5, 2021 #2 Washirikishe hata wanunuaji wa rejareja nao pia watakupa jibu sahihi kutokana na ununuaji wao utapata jawabu
Washirikishe hata wanunuaji wa rejareja nao pia watakupa jibu sahihi kutokana na ununuaji wao utapata jawabu