Labda Doctor of dental surgery, doctor of medicine na nursing NK. Hizi zitakufaa zaidi udom na muhimbili ndio vyuo vitakufaa. doctor of veterinary medicine (BVM) ya Sua tatizo ni soko dogoNimesoma combination ya PCB nimemaliza form six mwaka huu na nmefaulu kwa division I-8 lakini sijafanikiwa kwenda Chuo kwasababu za kiuchumi naomba msaada Je ni course Gan za afya tofauti na MD ambazo naeza nikasoma kwa mwakani zenye ajira lakini pia ambao ni rahisi kujiajili??
Naombeni msaada wa mawazo tafadhali
Mechanical Marine engineering nakaziaaElectric engineering
Mechanical engineering
Biomedical engineering
Laboratory technology
Dentist
Radiology
Electronics engineering
Computer Science
MBA and MIM
Finance, International Business and Accounting.
Law
Architecture and Construction Management
Civil engineering
Bachelor Degree in Maritime Transport and Nautical Science.
Bachelor Degree in Marine Engineering Technology.
Bachelor Degree in Naval Architecture and Offshore Engineering
Bachelor Degree in Mechanical and Marine Engineering
Bachelor Degree in Oil And Gas Engineering (BOGE)
Mimi nipo kwenye afya ila nna diploma nakushauri usome mojawapo kati ya hizi Radiology (mambo ya xray na ultra sound) Medical LabNimesoma combination ya PCB nimemaliza form six mwaka huu na nmefaulu kwa division I-8 lakini sijafanikiwa kwenda Chuo kwasababu za kiuchumi naomba msaada Je ni course Gan za afya tofauti na MD ambazo naeza nikasoma kwa mwakani zenye ajira lakini pia ambao ni rahisi kujiajili??
Naombeni msaada wa mawazo tafadhali
Hawezi kusoma kozi yoyote ya engineering akiwa ana background ya PCB kwa TANZANIA ya sasa.Hata BIOMEDICAL ENGINEERING hawezi kusomaElectric engineering
Mechanical engineering
Biomedical engineering
Laboratory technology
Dentist
Radiology
Electronics engineering
Computer Science
MBA and MIM
Finance, International Business and Accounting.
Law
Architecture and Construction Management
Civil engineering
Bachelor Degree in Maritime Transport and Nautical Science.
Bachelor Degree in Marine Engineering Technology.
Bachelor Degree in Naval Architecture and Offshore Engineering
Bachelor Degree in Mechanical and Marine Engineering
Bachelor Degree in Oil And Gas Engineering (BOGE)
Hii ni nzuri mtu akianzia diploma ya Eletrical au mechanical then ndio apige marine engineering......TASAC na TPA ni kugusa tu shwaaaaaMechanical Marine engineering nakaziaa
Yeah no kweli only option ni kuanzia diplomaHawezi kusoma kozi yoyote ya engineering akiwa ana background ya PCB kwa TANZANIA ya sasa.Hata BIOMEDICAL ENGINEERING hawezi kusoma
Hebu nifafanulie zaidiHii ni nzuri mtu akianzia diploma ya Eletrical au mechanical then ndio apige marine engineering......TASAC na TPA ni kugusa tu shwaaaaa
Jamani mwenye kujua zaidi kuhusu course hii: Bachelor of science in chemistry kuhusu soko lake na mazingira Gani mtu aliesoma kozi hii atafanya kazi. Natanguliza shukrani za dhati.Bachelor of Veterinary Medicine
Bachelor of Pharmacy
Bachelor of Nursing
BSc IT