Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sana. Ulianza lini? Hizi dawa ni wengi wanalalamika kuwa siku za mwanzo mwanzo zinaleta maluelue sana. Wengine wanasema wanaota ndoto mbaya na kila aina ya ghasia. Ila kadiri unavyotumia ndivyo dalili zinavyopungua na mwishowe unazoea.Kwa wenye experience wa hizi dawa za PEP naomba kuuliza kwa nini nikinywa hizi dawa nakuwa napatwa na homa na najisikia kuchoka sana naomba mnijuze hii ni kawaida au??
Asante ngoja nirudi hospital maana zinanipelekesha sanaPole sana. Ulianza lini? Hizi dawa ni wengi wanalalamika kuwa siku za mwanzo mwanzo zinaleta maluelue sana. Wengine wanasema wanaota ndoto mbaya na kila aina ya ghasia. Ila kadiri unavyotumia ndivyo dalili zinavyopungua na mwishowe unazoea. Mimi nakushauri ni vizuri urudi kwa daktari pengine anaweza kutoa jibu kamili baada ya kukuona au kukupima. Kila mtu huwa ana-react kivyake anapotumia dawa fulani na ni vigumu kupata ushauri wa kusaidia bila kumwona mtaalam ana kwa ana.
Hizi dawa huenda zilikuwa kwa ajili ya matumizi ya punda.Kwa wenye experience wa hizi dawa za PEP naomba kuuliza kwa nini nikinywa hizi dawa nakuwa napatwa na homa na najisikia kuchoka sana naomba mnijuze hii ni kawaida au?
Inawezakana maana zinapelekesha sanaHizi dawa huenda zilikuwa kwa ajili ya matumizi ya punda.
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Mkuu homa wakati upo kwenye dozi au....baada ya kumaliza dozi?Kwa wenye experience wa hizi dawa za PEP naomba kuuliza kwa nini nikinywa hizi dawa nakuwa napatwa na homa na najisikia kuchoka sana naomba mnijuze hii ni kawaida au?