Naomba msaada kuhusu dawa za PEP

KIXI

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2015
Posts
1,955
Reaction score
2,465
Kwa wenye experience wa hizi dawa za PEP naomba kuuliza kwa nini nikinywa hizi dawa nakuwa napatwa na homa na najisikia kuchoka sana naomba mnijuze hii ni kawaida au?
 
Kwa wenye experience wa hizi dawa za PEP naomba kuuliza kwa nini nikinywa hizi dawa nakuwa napatwa na homa na najisikia kuchoka sana naomba mnijuze hii ni kawaida au??
Pole sana. Ulianza lini? Hizi dawa ni wengi wanalalamika kuwa siku za mwanzo mwanzo zinaleta maluelue sana. Wengine wanasema wanaota ndoto mbaya na kila aina ya ghasia. Ila kadiri unavyotumia ndivyo dalili zinavyopungua na mwishowe unazoea.

Mimi nakushauri ni vizuri urudi kwa daktari pengine anaweza kutoa jibu kamili baada ya kukuona au kukupima. Kila mtu huwa ana-react kivyake anapotumia dawa fulani na ni vigumu kupata ushauri wa kusaidia bila kumwona mtaalam ana kwa ana.
 
Hapo mbona bado sasa we uko siku za mwanzo !! kuna ile unaota watu wamekufunga kwenye kiroba wanakupiga mawe 🤣🤣 imagine hii ndoto unaiota toka ulivyolala mpaka unaamka
 
Attachments

  • FB_IMG_1689162767262.jpg
    10.1 KB · Views: 9
Asante ngoja nirudi hospital maana zinanipelekesha sana
 
Hapo mbona bado sasa we uko siku za mwanzo !! kuna ile unaota watu wamekufunga kwenye kiroba wanakupiga mawe 🤣🤣 imagine hii ndoto unaiota toka ulivyolala mpaka unaamka
Daah mbona unanitisha
 
Kwa wenye experience wa hizi dawa za PEP naomba kuuliza kwa nini nikinywa hizi dawa nakuwa napatwa na homa na najisikia kuchoka sana naomba mnijuze hii ni kawaida au?
Mkuu homa wakati upo kwenye dozi au....baada ya kumaliza dozi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…