Naomba msaada kuhusu Elimu ya chuo kikuu

alex001

Member
Joined
Nov 23, 2022
Posts
20
Reaction score
10
Samahani wakuu nilikuwa naomba kuuliza.. Hivi ule utaratibu wa kuandika barua kwenda TCU kwaajili ya kuondolewa kwenye system Yao pamoja na kuandika barua kupeleka bodi ya mikopo kusitisha mkopo ili uweze kuapply upya chuo pamoja na mkopo ikiwa kama ulipangiwa mwaka uliopita na hukuweza kuripoti wala kujisajili chuon.. Hivi huo utaratibu bado upo?
 
Bado upo.
Nenda chuo husika wakupe barua then hiyo barua uende nayo TCU na Bodi baada ya muda mfupi watakuondoa kwenye mfumo ili uanze upya.
 
Samahani wakuu nilikuwa naomba kuuliza.. Hivi ule utaratibu wa kuandika barua kwenda TCU kwaajili ya kuondolewa kwenye system Yao pamoja na kuandika barua kupeleka bodi ya mikopo kusitisha mkopo ili uweze kuapply upya chuo pamoja na mkopo ikiwa kama ulipangiwa mwaka uliopita na hukuweza kuripoti wala kujisajili chuon.. Hivi huo utaratibu bado upo?
Kwanini ufanye hivyo?
 
Kam kwa mimi nakumbuk nilipew mkop na chuo pia nilichanguliw ila sikuripoti kwa sababu fulan za maishaa ila mwak ulio fwata nikaomb tena chuo na mkopo nikapat na kuripoti moja kwa moja
 
Ahsantee mkuu.. Kwhiyo hukuandka barua wala kutoa taarifa yoyote bodi ya mikopo na TCU??
 
Samahani wakuu nilikuwa naomba kuuliza.. Hivi ule utaratibu wa kuandika barua kwenda TCU kwaajili ya kuondolewa kwenye system Yao pamoja na kuandika barua kupeleka bodi ya mikopo kusitisha mkopo ili uweze kuapply upya chuo pamoja na mkopo ikiwa kama ulipangiwa mwaka uliopita na hukuweza kuripoti wala kujisajili chuon.. Hivi huo utaratibu bado upo?
BRIGHT AND GENIUS EDITORS

Karibu Bright and Genius Editors tunatoa huduma zifuatazo:

1. Huduma ya kuhariri (kuedit) ripoti mbalimbali mfano za chuo n.k, propozo, vitabu, notes na barua mbalimbali.
2. Kuandika barua za kujitoa kwenye mifumo ya vyuo (Deregistration letters)
3. Kuandika barua za kuomba kazi.
4. Kuandika propozo za kuanzisha biashara au kufungua mradi.
5. Kuandika katiba za vikundi vya wajasiliamali.
6. Usafi wa majumbani, viwandani, maofisini na mashuleni.
7. Kusajili jina la biashara au kampuni

Tafadhari kama unahitaji huduma yetu tutafute kwa mawasiliano yafuatayo:

Email: bandg.editors@gmail.com
WhatsApp: 0747744895
 
Samahani wakuu nilikuwa naomba kuuliza.. Hivi ule utaratibu wa kuandika barua kwenda TCU kwaajili ya kuondolewa kwenye system Yao pamoja na kuandika barua kupeleka bodi ya mikopo kusitisha mkopo ili uweze kuapply upya chuo pamoja na mkopo ikiwa kama ulipangiwa mwaka uliopita na hukuweza kuripoti wala kujisajili chuon.. Hivi huo utaratibu bado upo?
Hapo barua ya nn asa wakati chuo ujafika aupo kwenye usajili wao Wewe chuna mwakani omba tena utapata tu na mkopo unamdah wake usipousaini wanauchujua ukiomba tena mwakani kama unasifa wanakupa bila shidah so mabarua hapo ni kupotez muda
 
Ahsante
 
Back
Top Bottom