Naomba msaada kuhusu jini mahaba

Naomba msaada kuhusu jini mahaba

Joined
Oct 14, 2018
Posts
21
Reaction score
28
Heri ya mwaka wa 2019 wanabodi
Naomba Uzi huu tuujadili kwa kuzingatia kuwa mnasaidia MTU ni muhimu sana .

Jini mahaba linanisumbua sana, limesumbua ndoa yangu mpaka kutengana , limeharibu maisha yangu kiuchumi baada ya kuoa nikarudi sifuri kabisa.

Naomba kuuliza jinsi ya kulifukuza milele kabisa.

Nimegundua nimeshachelewa baada ya kuuliza sehemu mbalimbali kwa kuwa:

1. Usiku linanilazimisha nisex nalo kila siku , na tukimaliza sex nikiamka nakuta nimemwaga manii sana kitandani na kwenye boxer

2. Linanitokea kila Mara na halitaki niwe na mke.

3. Baada ya kuoa maisha yalivurugika , uchumi ukashuka sana , mikosi na mabalaa yote kwangu ,nikafukuzwa kazi mpaka mke tukatengana

Naomba sana wajuzi waniambie nifanyeje , anayejua msaada naomba anifuate inbox ,nateseka sana .

Tafadhali nawasilisha
 
Wakuu naomba sana kujua jinsi ya kulifukuza mini l mahaba.

Na pia naomba kujuzwa kuhusu ;

1. Linatokea wapi ?

2. Lina uwezo gani kuharibu maisha ya MTU

3. Linakaa kwa MTU mpaka kipindi gani

4 . je, halifi ?

5. Kulifukuza ni mbinu gani inatumika na kulitokomeza kabisa?

Nisaidieni , mwenye ushauri mzuri sana anaweza pia kunifuata private tukaongea jinsi ya kusaidiana

Nawasilisha
 
Hayo maswali muulize ISIS huwa nahisi yeye ni jini mahaba!Sijamsikia muda humu walahii!, labda ndo kahamia huko kwako mazima. Unaloo!
1546538957944.png
 
Mkuu Mshana Jr kwa heshima na taadhima njoo huku.
Wakuu naomba sana kujua jinsi ya kulifukuza mini l mahaba.

Na pia naomba kujuzwa kuhusu ;

1. Linatokea wapi ?

2. Lina uwezo gani kuharibu maisha ya MTU

3. Linakaa kwa MTU mpaka kipindi gani

4 . je, halifi ?

5. Kulifukuza ni mbinu gani inatumika na kulitokomeza kabisa?

Nisaidieni , mwenye ushauri mzuri sana anaweza pia kunifuata private tukaongea jinsi ya kusaidiana

Nawasilisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole mkuu , nani kakuambia kuwa.una jini mahaba?

Au dalili gani unazo ambazo zinakufanya uamini kuwa una jini mahaba?

Mkuu , nateseka sana , Luna m wengine wamechukulia utani , kwa kweli siyo utani
Limenifilisi sana na kila siku usiku linakuja linaniambia lazima niachane na mke wangu LA sivyo litaniletea majanga

Na kweli mpaka sasa nimeona madhara
Wakati mwingine linakuja linataka sex nakataa , linalazimisha sana mpaka tunafanya

Mikosi mingi imeniandama baada ya kuoa

Kipi kilichokufanya ujue kama wewe una jini mahaba?

Jinsia yako ni ipi?
 
Mkuu , linanitesa sana usiku wakati wote linanijia linataka nisex nalo ,
Na wakati mwingine nasex nalo nakuta manii kitandani mengii, alafu linaniambia nisipoacha mke litavuruga kila kitu changu ,na nimeanza kuona mambo yalivyo
Pole mkuu , nani kakuambia kuwa.una jini mahaba?

Au dalili gani unazo ambazo zinakufanya uamini kuwa una jini mahaba?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu , nateseka sana , Luna m wengine wamechukulia utani , kwa kweli siyo utani
Limenifilisi sana na kila siku usiku linakuja linaniambia lazima niachane na mke wangu LA sivyo litaniletea majanga

Na kweli mpaka sasa nimeona madhara
Wakati mwingine linakuja linataka sex nakataa , linalazimisha sana mpaka tunafanya

Mikosi mingi imeniandama baada ya kuoa
Audhu billahi minashaytwaani rrajiim.

Bismillah lladhii la yadhurru ma'as mih shay un fil ardhi walaa fii ssamaai wahuwa ssamiul aliim.

Ndoo kwanza naiona mda huu.

Kipi ambacho umekifanya mpaka yamekukuta hayo? Una tabia ya kukaa uchi sana? Au ulikuwa ni mtu wa michepuko? Au ulikuwa unaota ndoto sanaaa za kujimiiana na mwanamke? Au una chanzo kingine?

Ila fahamu kwamba unavyo chati hapa anajua, sikutishi ila ndiyo halisi.

Mwanzo wako ni upi mpaka yamekukuta hayo?
 
Acheni ujinga nyie. Mambo ya dark ahges haya. Mambo ya kijima. Mkuu huna tatizo lolote zaidi ya hofu isiyokuwa na msingi. Irrational fear inakufanya uone, usikie, kugusa, n.k vitu ambavyo havipo. Shinda hofu yako na yote unayohisi yanakikumba yatakwisha!
 
Ilitokea nikawa najikuta naota najamiiana nayo ndotoni mkuu , nilivyooa ndo yakaanza kunitishia
Audhu billahi minashaytwaani rrajiim.

Bismillah lladhii la yadhurru ma'as mih shay un fil ardhi walaa fii ssamaai wahuwa ssamiul aliim.

Ndoo kwanza naiona mda huu.

Kipi ambacho umekifanya mpaka yamekukuta hayo? Una tabia ya kukaa uchi sana? Au ulikuwa ni mtu wa michepuko? Au ulikuwa unaota ndoto sanaaa za kujimiiana na mwanamke? Au una chanzo kingine?

Ila fahamu kwamba unavyo chati hapa anajua, sikutishi ila ndiyo halisi.

Mwanzo wako ni upi mpaka yamekukuta hayo?
 
Mdogo wangu ameoa mke juzijuzi,, analo ilo shetani,, anaota ndoto anafanywa,, asubui akihamka anajikuta ana mbegu za kiume Kwenye uke wake,,

Halafu linaleta nuksi balaa ilo,, Au ukiwa nalo mwanaume unaweza ukataka kumuingilia mkeo uume usisimame kabisa.

N'a Kuna shetani mahaba lingine linawaingilia wanaume usiku,, so Kuna wengine wanaenda wanazoea hatima yake baadae wanakuwa mapunga KABISA wanatafuta mabasha wakibinadamu wawabandue,, kama anavyohaha sasaivi UCD kutafuta vibunzi vimsugue
 
Acheni ujinga nyie. Mambo ya dark ahges haya. Mambo ya kijima. Mkuu huna tatizo lolote zaidi ya hofu isiyokuwa na msingi. Irrational fear inakufanya uone, usikie, kugusa, n.k vitu ambavyo havipo. Shinda hofu yako na yote unayohisi yanakikumba yatakwisha!
Dunia ni pana kuliko unavyoifikiri.
 
Mkuu , hili tatizo lipo na huenda ni LA wengi mno lakini wengi hawasemi hukaa nayo moyoni

Nakwambia Mimi nilikuwa na assume kama wewe au zaidi yako lakini nikikusimulia private hata wewe utajua ninachomaanisha kuwa ni serious issue

Back
Top Bottom