Mgoroko
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 769
- 446
Kuwa unakula kitimoto.Heri ya mwaka wa 2019 wanabodi
Naomba Uzi huu tuujadili kwa kuzingatia kuwa mnasaidia MTU ni muhimu sana .
Jini mahaba linanisumbua sana, limesumbua ndoa yangu mpaka kutengana , limeharibu maisha yangu kiuchumi baada ya kuoa nikarudi sifuri kabisa.
Naomba kuuliza jinsi ya kulifukuza milele kabisa.
Nimegundua nimeshachelewa baada ya kuuliza sehemu mbalimbali kwa kuwa:
1. Usiku linanilazimisha nisex nalo kila siku , na tukimaliza sex nikiamka nakuta nimemwaga manii sana kitandani na kwenye boxer
2. Linanitokea kila Mara na halitaki niwe na mke.
3. Baada ya kuoa maisha yalivurugika , uchumi ukashuka sana , mikosi na mabalaa yote kwangu ,nikafukuzwa kazi mpaka mke tukatengana
Naomba sana wajuzi waniambie nifanyeje , anayejua msaada naomba anifuate inbox ,nateseka sana .
Tafadhali nawasilisha
Sent using Jamii Forums mobile app