Kuna viumbe wa aina 3 wameumbwa.
Kuna Malaika, hawa waneumbwa kwa nuru.
Kuna Binadamu, wameumbwa kwa udongo.
Kuna Majinni, wameumbwa kwa moto.
Jinni si kibwengo, Majinni wanakoo 70 ki ujumla. Wanaishi mapangoni, msituni, chooni, majini, kwenye nyumba zilizokaa bila watu kwa muda mrefu na majumbani kwetu lakini ikiwa kama nyumba haifanyi hata ibada ya kumkumbuka Mungu. Majinni wanaokaa chooni ndiyo makazi yao hata kiwe choo cha namna gani. Hawa wa chooni wachawi wanawatumia katika kuwadhuru watu chooni. Ukisikia mtu kaanguka chooni akapooza mkono mara mguu ujue ndio hao. Utembeaji wao ni wa kuruka juuu kisha wanatua chini kwa kishindo.
Na majini wapo weupe sana na wengine weusi sana wengine wa bluu wengine wa kijani wengine wekundu. Katika hao wapi wenye sura mbele na nyuma mwili wao wote unawaka moto. Lakini sura zao si kama zetu, za kwao zinatisha na ni warefu sana na maumbile yao ya ajabu yenye kutisha. Naishia hapa.
Usiniulize nimejuaje.