Naomba msaada kuhusu jini mahaba

Hao ndo wale vibwengo?
 
kanisani kwa mchungaji katunzi eagt city center,shuka stanf ya shamba ni mtoni kwa aziz ally,ukiuliza kanisani kwa mchungajibkatunzi,barabara juu inapita reli shuka hapo,stand ya shamba ukienda kwa maombi hapo jini limetoka amini usiamani maombi ni bure nenda hapo uje uniambie kama halijatoka.
 
Mkuu hongera kwa kupona
Watu wanachululia mchezo haya mambo lakini najua yanawatesa wengi mno
Nimekutumia ujumbe PM ucheck mkuu
Mimi nimeteseka nalo mika 30+ nakuelewa...tangu liondoke ni kama miezi sita hiv mpaka wakat mwingine siamin kama kweli limeondoka...unaweza nitafuta nikakuelekeza nilipoponea..
Pole sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu , nashindwa hata kukwambia nini naamini wewe una tatizo fulani kifikra ,
hebu tuwe na adabu kidogo
Yapo majini mahaba y'a kiume na yapenda Tigo,,,yanawaingilia wanaume kinyume na maumbile,, so mtu akizoea baadae sasa anawatafuta mabasha wa kibinadamu wamle ndogo yake,, Mkuu vip unalo nini ?

Maelezo yake ni marefu, hapa hapawezi kutosha kuandika
 
Duh umenitisha mkuu
Kama juzi limekuja na ni lizuri sana nikawa nalikataa hatimaye likanilazimisha
Likawa linanyonya mashine yangu kwa ustadi wa hali ya juu ndo nkalikubalia lakini baada ya kugombana saaaana mpaka nkanyanyua meza kulipiga linaniambia siwezi kulipiga na nikijaribu litanikomesha ,

Nilipata taabu nalo kwa kweli na linakuwaza lizuri mno aiseh

Mimi mkiristo mkuu , nataabika kinoma
 
Kuna viumbe wa aina 3 wameumbwa.

Kuna Malaika, hawa waneumbwa kwa nuru.

Kuna Binadamu, wameumbwa kwa udongo.

Kuna Majinni, wameumbwa kwa moto.


Jinni si kibwengo, Majinni wanakoo 70 ki ujumla. Wanaishi mapangoni, msituni, chooni, majini, kwenye nyumba zilizokaa bila watu kwa muda mrefu na majumbani kwetu lakini ikiwa kama nyumba haifanyi hata ibada ya kumkumbuka Mungu. Majinni wanaokaa chooni ndiyo makazi yao hata kiwe choo cha namna gani. Hawa wa chooni wachawi wanawatumia katika kuwadhuru watu chooni. Ukisikia mtu kaanguka chooni akapooza mkono mara mguu ujue ndio hao. Utembeaji wao ni wa kuruka juuu kisha wanatua chini kwa kishindo.

Na majini wapo weupe sana na wengine weusi sana wengine wa bluu wengine wa kijani wengine wekundu. Katika hao wapi wenye sura mbele na nyuma mwili wao wote unawaka moto. Lakini sura zao si kama zetu, za kwao zinatisha na ni warefu sana na maumbile yao ya ajabu yenye kutisha. Naishia hapa.

Usiniulize nimejuaje.
Hao ndo wale vibwengo?
 
Itabidi niende , nakushukuru muno ,
huo ni mwanzo wa kuniponya , asante sana
 
Sasa
Mkuu , hili tatizo lipo na huenda ni LA wengi mno lakini wengi hawasemi hukaa nayo moyoni

Nakwambia Mimi nilikuwa na assume kama wewe au zaidi yako lakini nikikusimulia private hata wewe utajua ninachomaanisha kuwa ni serious issue
Sasa mkuu unachokizungumzia hapa ni ndoto zitokanazo na yalw uliyoyajaza kichwani mwako. Ndoto ni reflection ya mawazo, imani na hofu zako. You see what you want to see and hear what you want to hear. Hayo majini yako kwenye ubongo wako. They do not have independent existence. They are not real. You create them yourself. Ndio maana ukipata ushauri nasaha na mtu wa kukutrain ubongo wako kufikiri sawasawa, hizo ndoto zinaisha. Una tatizo la kisaikolojia linalohitaji kutibiwa kisaikolojia. Hata kuombewa makanisani au misikitini inaweza kumaliza hilo tatizo, sio kwa sababu hayo maombi yamekusaidia per se. Bali kwa sababu ubongo wako unakuwa umepewa some kind of a refuge (mahali ambapo unajisikia upo salama). Hii inakusaidia kupunguza hofu hivyo ndoto nazo kupotea. Ndugu zangu huu ulimwengu upo kama ulivyo. Hakuna malicious supernatural forces zozote zinazoi"run" dunia. Nature haiwezi kujinegate yenyewe. Mambo yoote haya ya majini na mapepo mnayosikia ni psychological problems ambazo watu wanazigeuza kuwa beings with real existence. Hii si ajabu sana kwa sisi waafrika kwa sababu ndivyo tumekuwa tunauona ulimwengu tangu zama za ujima. Hata wazungu enzi za jamii za kijima (pre-scientific/primordial/ tribal/agricultural socities) walikuwa na hizi imani hivi hivi km sisi waafrika.

Hata hivyo baada ya mawndeleo ya sayansi nabteknolojia wakaja kugundua zilikuwa imani zisizokuwa na msingi. Actually sio wazungu tu, jamii zote duniani zimepitia huu uprimitive tunauoendekeza sasa waafrika. Ila wengi walishavuka hii stage siku nyingi. Ni ajabu kwamba bado waafrika wengi wameshikilia hizi imani ambazo hazina umuhimu tena katika ulimwengu huu wa leo.
 
Hujui ulisemalo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ruqyah ndiyo tiba sahihi kabisa.

Soma zaidi: Taratibu Za Ruqyah Na Yapasayo Kufanywa Kabla Ya Kusoma Ruqyah | Alhidaaya.com
 
Mkristo huyu jamaa...aende tu makanisani kwao huenda atapata msaada..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio elimu hyo ya majini...
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…