Naomba msaada kuhusu jini mahaba

Kuwa unakula kitimoto.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nenda kaombewe. Hilo ni jini/pepo. Usisanganyike na mambo mengine. Nenda kanisa la watu waliookoka kawaeleze unaombewa linatoka na kuanzia hapo itakubidi uokoke.

Njia nyingine hazitakufaa maana watalituliza tu au watalipandishia kubwa zaidi ambalo hilo ndo litalituliza ulilo nalo but hilo kubwa litakuwa na jambo lingine.nakwambia TU NENDA KAOMBEWE KWA WALOKOLE LIONDOLEWE. watu wengine MAJINI NI SEHEMU YA NDUGU ZAO HAWAWEZI KUKUSAIDIA. NENDA KANISA LA WALOKOLE WA KWELI KWELI.
 
Acha ujinga na Wewe SI kila mtu Ni mjinga we jamaa,HAYO MADUBWASHA YAPO NA YANASUMBUA SANA TU YAKIKUZOEA UNAYA KANDAMIZIA na YANAKUKANDAMIZIA MUDA WOWOTE YAKITAKA HATA MCHANA OFISIN,BARABARANI,POPOTE UNAKUTA MTU HANA KIFAFA LAKINI ANAANGUKA GHAFLA KAMA KIFAFA HAPO NDO MKANDAMIZO UNATENDEKA
 
HAWANA UWEZO HUO NI MBWEMBWE TU NA MIKELELE ISIYO NA MSINGI
 
MWAMINI YESU TUBU DHAMBI,HAYO MAPEPO NA MAJINI HAYATA PATA NAFASI TENA..TAFUTA KANISA LENYE MCHUNGAJI WA KWELI MWENYE NGUVU ZA MUNGU ATAKUSAIDI....UNAWEZA KUJA PM UKIHITAJI MSAADA ZAIDI.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…