Gulio Tanzania
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,325
- 7,807
Hii hapa naona nimetumiwauneshafanya appeal?
bado kuna chance ya appeal?
huwa wanatuma email kusema nn tatizo mpka wana suspend
email inasemaj?
0677818283 whatsappNahitaji developer ambaye atanifanyia hii kazi
Nilijaribu kutuma document ya bank statement wamekataa kuisubmit adress Kule adress y’a google pay nilimtumia mtu anilipie île 25$0677818283 whatsapp
Hapo itahitajika nida yenye kufanana taarifa za payment kipindi unafungua hii account.
Kwakuwa NIDA zetu hazioneshi address basi tunatengeneza bank statement ya miezi 3 ya account ambayo inafanana majina na uliyoweka kwenye payment.
Baada ya hapo wana verify bila tatizo
ushafanya verification ngapi?
0677818283 (whatsapp)
uta loose hiyo accountNilijaribu kutuma document ya bank statement wamekataa kuisubmit adress Kule adress y’a google pay nilimtumia mtu anilipie île 25$
adress ninayoitumia kutuma document ni Jina lingine ila document ina match na Jina la document
Du kwa mana hiyo dollar zangu 25 zimeliwa?uta loose hiyo account
Details zote zinabidi zifanane..
Jaribu kutengeneza mkataba wa pango utakaoonyesha adress ya makazi yako.
Tunaweza kufanya kazi kwa kulipia account nyingine mpya nakuverify mana naona napata usumbufuuta loose hiyo account
Details zote zinabidi zifanane..
ndio inawezekanaTunaweza kufanya kazi kwa kulipia account nyingine mpya nakuverify mana naona napata usumbufu
Hainandio inawezekana
njoo kwanza inbox niione hii account kama itafaa au utengeneze mpya
kwan hii account tayar ina app?
Ndio nilifanikiwaMambo vipi ulifanikiwa ?
Sawa , umeweka App imeenda live ?Ndio nilifanikiwa
Bado nimepakia App wiki iliyopakia nazani kwa sasa ili APP ili iwe live inatakiwa iwe testing na email 20 itakuwa live baada ya siku 25 kwa newcomer accountSawa , umeweka App imeenda live ?
Ikiwa live nicheki nakutumia namba PMBado nimepakia App wiki iliyopakia nazani kwa sasa ili APP ili iwe live inatakiwa iwe testing na email 20 itakuwa live baada ya siku 25 kwa newcomer account