Naomba msaada kuverify google developer account

Naomba msaada kuverify google developer account

Gulio Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2018
Posts
3,325
Reaction score
7,807
Nimekuja kwenu wadau natafuta msaada Kuna shida imetokea wakati najaribu kuverify account kama vile wanavyotak nimejaribu kwa kitambulisho cha taifa nida, leseni, bank statement naona wanakataa Google developer sijui wanataka Nini
Msaada account yangu ipo suspension

Msaada kwa mwenye uzoefu
2024_11_27_09.15.46.jpg
 
uneshafanya appeal?
bado kuna chance ya appeal?
huwa wanatuma email kusema nn tatizo mpka wana suspend
email inasemaj?
 
Nahitaji developer ambaye atanifanyia hii kazi
0677818283 whatsapp
Hapo itahitajika nida yenye kufanana taarifa za payment kipindi unafungua hii account.
Kwakuwa NIDA zetu hazioneshi address basi tunatengeneza bank statement ya miezi 3 ya account ambayo inafanana majina na uliyoweka kwenye payment.

Baada ya hapo wana verify bila tatizo
ushafanya verification ngapi?

0677818283 (whatsapp)
 
Nilijaribu kutuma document ya bank statement wamekataa kuisubmit adress Kule adress y’a google pay nilimtumia mtu anilipie île 25$
adress ninayoitumia kutuma document ni Jina lingine ila document ina match na Jina la document
 
uta loose hiyo account
Details zote zinabidi zifanane..
 
Jaribu kutengeneza mkataba wa pango utakaoonyesha adress ya makazi yako.
 
Back
Top Bottom