Naomba msaada kwa wenye usafiri wa kwenda Bukoba kesho.

Naomba msaada kwa wenye usafiri wa kwenda Bukoba kesho.

Mungu akufanyie njia Mkuu
Mungu akuinulie msaada.

Nadhani ni vema ungesema upo mkoa gani? Unaenda Bukoba Ukitokea wapi? Na je Interview ni lini?

Na swala la kurudi je? Utarudii vipi

Neema ya Bwana iwe juu yako
 
Wakuu nimeitwa Usaili Bukoba , baada ya kusambaza CV yangu Ila changamoto nilionayo ni nauli tu.

Kama unaweza nisapoti lift nitashukuru Sana .

Au Kwa namna yoyote ile.
ukiwa na Jambo linalohitaji msaada usijiangalia ww,Angalia watu wanaokusaidia watapokeaje ujumbe wako hatujui uko wapi,interview lini?,Utarudije?Umejipangaje ikitojea hitilafu njiani?
 
Back
Top Bottom