issa mweusi
JF-Expert Member
- May 31, 2015
- 1,477
- 1,138
Naomba msaada namna ya kujitoa chama cha waalim Tanzania.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni vigumu sana kujitoa cwt kwa sababu ipo kisheria kwa walimu wote walioajiriwa na serikali,labda uhamie shule za binafsi.Naomba msaada namna ya kujitoa chama cha waalim Tanzania.
Kiongozi wako wa wilaya (CWT) kafanya fyongo nn?Naomba msaada namna ya kujitoa chama cha waalim Tanzania.
Wewe utakuwa miongoni mwa majizi ya CWTWewe unapoteza muda wako bure. Najua shida yako ni kwamba uachwe kukatwa 2%. Kila idara ina chama chake cha wafanyakazi na hairuhusiwi kuwa na vyama viwili vya wafanyakazi idara moja. Kama umechoka na cwt nenda kasome sheria uungane na akina tundu lissu tls au jiunge na chama cha madaktari cha akina ulimboka.
Sijawahi kuona chama kinachofanya kazi Tanzania kama cwt na sijawahi kuona chama chenye maendeleo kama cwt na sijawahi kuona chama kinachopigwa mawe na wanachama wake kama cwt?.
Wana vitega uchumi vya adabu kila mkoa na wameanzisha benki ambayo tayari inafanya kazi wamebaki kusupplly matawi nchi nzima tu tena kwenye majengo yao si ya kupanga.
Hata nmb ni benki kubwa lakini haina asset kama za benki ama Cwt.
Haraka ya wanachama na uelewa mdogo wa members utakigharimu chama baadaye kwani uongozi si jambo jepesi.
Wakati ukifika hata wewe unayetamani kutoka utatamani urudi tena wakati ambapo meli itakua imengoa nanga. Mwisho utabaki kufa na uzazi wako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata tunapoisifia tls ambayo viongozi wake wanahangaika kutwa kuteswa na serikali hii wakidai haki zao tunakuwa majizi.Wewe utakuwa miongoni mwa majizi ya CWT
Toa ushauri jinsi ya kujitoa...ndiyo hoja iliyoko mezani.Anzisha uzi mwingine wa kuelezea faida za CWT.Wewe unapoteza muda wako bure. Najua shida yako ni kwamba uachwe kukatwa 2%. Kila idara ina chama chake cha wafanyakazi na hairuhusiwi kuwa na vyama viwili vya wafanyakazi idara moja. Kama umechoka na cwt nenda kasome sheria uungane na akina tundu lissu tls au jiunge na chama cha madaktari cha akina ulimboka.
Sijawahi kuona chama kinachofanya kazi Tanzania kama cwt na sijawahi kuona chama chenye maendeleo kama cwt na sijawahi kuona chama kinachopigwa mawe na wanachama wake kama cwt?.
Wana vitega uchumi vya adabu kila mkoa na wameanzisha benki ambayo tayari inafanya kazi wamebaki kusupplly matawi nchi nzima tu tena kwenye majengo yao si ya kupanga.
Hata nmb ni benki kubwa lakini haina asset kama za benki ama Cwt.
Haraka ya wanachama na uelewa mdogo wa members utakigharimu chama baadaye kwani uongozi si jambo jepesi.
Wakati ukifika hata wewe unayetamani kutoka utatamani urudi tena wakati ambapo meli itakua imengoa nanga. Mwisho utabaki kufa na uzazi wako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Vyama vya walimu kwa maana ya trade union ziko zaidi ya mmoja. Kwa taarifa kunawengi tu hawakatwi CWT wakatwa vyama vingine.Wewe unapoteza muda wako bure. Najua shida yako ni kwamba uachwe kukatwa 2%. Kila idara ina chama chake cha wafanyakazi na hairuhusiwi kuwa na vyama viwili vya wafanyakazi idara moja. Kama umechoka na cwt nenda kasome sheria uungane na akina tundu lissu tls au jiunge na chama cha madaktari cha akina ulimboka.
Sijawahi kuona chama kinachofanya kazi Tanzania kama cwt na sijawahi kuona chama chenye maendeleo kama cwt na sijawahi kuona chama kinachopigwa mawe na wanachama wake kama cwt?.
Wana vitega uchumi vya adabu kila mkoa na wameanzisha benki ambayo tayari inafanya kazi wamebaki kusupplly matawi nchi nzima tu tena kwenye majengo yao si ya kupanga.
Hata nmb ni benki kubwa lakini haina asset kama za benki ama Cwt.
Haraka ya wanachama na uelewa mdogo wa members utakigharimu chama baadaye kwani uongozi si jambo jepesi.
Wakati ukifika hata wewe unayetamani kutoka utatamani urudi tena wakati ambapo meli itakua imengoa nanga. Mwisho utabaki kufa na uzazi wako.
Sent using Jamii Forums mobile app
weee kiongozi nini? na mnafaika mnaozipiga hela za wanachamaWewe unapoteza muda wako bure. Najua shida yako ni kwamba uachwe kukatwa 2%. Kila idara ina chama chake cha wafanyakazi na hairuhusiwi kuwa na vyama viwili vya wafanyakazi idara moja. Kama umechoka na cwt nenda kasome sheria uungane na akina tundu lissu tls au jiunge na chama cha madaktari cha akina ulimboka.
Sijawahi kuona chama kinachofanya kazi Tanzania kama cwt na sijawahi kuona chama chenye maendeleo kama cwt na sijawahi kuona chama kinachopigwa mawe na wanachama wake kama cwt?.
Wana vitega uchumi vya adabu kila mkoa na wameanzisha benki ambayo tayari inafanya kazi wamebaki kusupplly matawi nchi nzima tu tena kwenye majengo yao si ya kupanga.
Hata nmb ni benki kubwa lakini haina asset kama za benki ama Cwt.
Haraka ya wanachama na uelewa mdogo wa members utakigharimu chama baadaye kwani uongozi si jambo jepesi.
Wakati ukifika hata wewe unayetamani kutoka utatamani urudi tena wakati ambapo meli itakua imengoa nanga. Mwisho utabaki kufa na uzazi wako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Rudi usome upya ulichoandika. Trade union na Cwt ni sawa au hujui lugha uliyoitumia.Vyama vya walimu kwa maana ya trade union ziko zaidi ya mmoja. Kwa taarifa kunawengi tu hawakatwi CWT wakatwa vyama vingine.
Sent using Jamii Forums mobile app