The hitman
JF-Expert Member
- Nov 30, 2017
- 3,673
- 2,288
Ta
Tafuta mwanasheria akusaidieNaomba msaada namna ya kujitoa chama cha waalim Tanzania.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tafuta mwanasheria akusaidieNaomba msaada namna ya kujitoa chama cha waalim Tanzania.
Hivyo vitega uchumi vinawasaidiaje walimu ? Kujitoa inawezekana , hiko chama sio cha taalumuWewe unapoteza muda wako bure. Najua shida yako ni kwamba uachwe kukatwa 2%. Kila idara ina chama chake cha wafanyakazi na hairuhusiwi kuwa na vyama viwili vya wafanyakazi idara moja. Kama umechoka na cwt nenda kasome sheria uungane na akina tundu lissu tls au jiunge na chama cha madaktari cha akina ulimboka.
Sijawahi kuona chama kinachofanya kazi Tanzania kama cwt na sijawahi kuona chama chenye maendeleo kama cwt na sijawahi kuona chama kinachopigwa mawe na wanachama wake kama cwt?.
Wana vitega uchumi vya adabu kila mkoa na wameanzisha benki ambayo tayari inafanya kazi wamebaki kusupplly matawi nchi nzima tu tena kwenye majengo yao si ya kupanga.
Hata nmb ni benki kubwa lakini haina asset kama za benki ama Cwt.
Haraka ya wanachama na uelewa mdogo wa members utakigharimu chama baadaye kwani uongozi si jambo jepesi.
Wakati ukifika hata wewe unayetamani kutoka utatamani urudi tena wakati ambapo meli itakua imengoa nanga. Mwisho utabaki kufa na uzazi wako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo hata wewe ukichaguliwa utabadilika maana unadai huwa mwanzoni wako vizuri lakini baadaye tunawabadilisha.Wawakilishi nyie huko wilayani sijui Huwa mnawapa nini.Mwanzoni anakuwa mwanaharakati mwenzenu mpigania haki Za walimu mkishamchagua unakuta naye kawa upande wa kukandamiza haleti mrejesho wowote.Bahati Nzuri wengine Ofisi Za CWT wilaya zipo Jirani mara kwa mara tunafika kule.Kwa kweli kuna wakati unaona Bora uende kwa Afisa Elimu mtaelewana siyo CWT.Majibu yamejaa siasa Na kujifanya wapo busy.
Baada ya kuona Mwakilishi yupo busy tukawa tunamuomba kiongozi yeyote wa wilaya atutembelee hasa Katibu tawini kwetu.Lakini miaka yote miwili wanasema wapo busy.
Sasa wapo busy kwa ajili ya Nani.
Halafu pia CWT kuna matabaka
Hilo nimeshajibia tayari. Ukitaka mengine zaidi nenda kwa katibu wako wa chama atakusaidia zaidi huko ndiko utapata mapato na matumizi yote ikiwa mwakilishi hakuletei.Hivyo vitega uchumi vinawasaidiaje walimu ? Kujitoa inawezekana , hiko chama sio cha taalumu
Tatizo ni nini............? Umetumwa..............? Usirudie tenaaaaaaa.....................!!!!!Naomba msaada namna ya kujitoa chama cha waalim Tanzania.
Siyo kila mtu ana karama ya kuongozaKwa hiyo hata wewe ukichaguliwa utabadilika maana unadai huwa mwanzoni wako vizuri lakini baadaye tunawabadilisha.
Sasa nakushauri gombea nafasi ni nyingi sana uza sera kwa hoja utachaguliwa.
Kulikuwa na baadhi ya makatibu wazembe wasiowatembelea wanachama na kujua kero zao wameonywa na wengine kupewa majukumu mengine yanayowafaa.
Ukweli cwt iko vizuri mkuu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tatizo ni nini............? Umetumwa..............? Usirudie tenaaaaaaa.....................!!!!!
Ikiwa viongozi mnaowachagua unadai wanabadilishwa nini ushauri wako kwa chama.Siyo kila mtu ana karama ya kuongoza
Hao makatibu wa wilaya ni kama Miungu fulani.Nilishuhudia Katibu anawaingiza mjini walimu waliokuwa wanadai mishahara yao.Mwanzoni alianza nao sawa wakisapotiana.Alipofanikiwa kukaa kikao yeye Katibu,Afisa Elimu Na Mkurugenzi kilichofuata ni Katibu kuwatoroka walimu Na kuongeza ugumu katika kufuatilia suala lao.Walimu baada ya kuona CWT imeungana Na mwajiri wakakata shauri walimu wenyewe wakajiorganize wakaenda Hazina Dar wakafuatilia mambo yao,withini one month mambo yakawa super .Sasa walimu kama Hawa wataipenda CWT inayowahujumu?Kwa hiyo hata wewe ukichaguliwa utabadilika maana unadai huwa mwanzoni wako vizuri lakini baadaye tunawabadilisha.
Sasa nakushauri gombea nafasi ni nyingi sana uza sera kwa hoja utachaguliwa.
Kulikuwa na baadhi ya makatibu wazembe wasiowatembelea wanachama na kujua kero zao wameonywa na wengine kupewa majukumu mengine yanayowafaa.
Ukweli cwt iko vizuri mkuu.
Mkuu huyu jamaa ni Mchonganishi..................!!! na ni Adui kwa maslahi ya Taifa..........!!!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ainisha hayo matatizo.................!!!CWT ijichunguze haya malalamiko ya walimu si bure kuna kitu hakipo sawa
Kuna mahali humu nimeandika jinsi chama kilivyopambana kuwawajibisha makatibu waliofanya usaliti kwa kuahidiwa vyeo na serikali wakiwasaliti walimu.Hao makatibu wa wilaya ni kama Miungu fulani.Nilishuhudia Katibu anawaingiza mjini walimu waliokuwa wanadai mishahara yao.Mwanzoni alianza nao sawa wakisapotiana.Alipofanikiwa kukaa kikao yeye Katibu,Afisa Elimu Na Mkurugenzi kilichofuata ni Katibu kuwatoroka walimu Na kuongeza ugumu katika kufuatilia suala lao.Walimu baada ya kuona CWT imeungana Na mwajiri wakakata shauri walimu wenyewe wakajiorganize wakaenda Hazina Dar wakafuatilia mambo yao,withini one month mambo yakawa super .Sasa walimu kama Hawa wataipenda CWT inayowahujumu?
Kweli wewe mjini chai, umenichekesha sina mbavu mimi daaaah una vituko mpaka hunogi wewe[emoji23][emoji23]Mkuu huyu jamaa ni Mchonganishi..................!!! na ni Adui kwa maslahi ya Taifa..........!!!!!
Hivi Email zenu Huwa mnajibu?Kupiga simu kwenye kituo chetu sidhani kama kuna mtu kafanya Ila Email Barua watu wameandika sana tu.Je Huwa mnajibu?Kuna mahali humu nimeandika jinsi chama kilivyopambana kuwawajibisha makatibu waliofanya usaliti kwa kuahidiwa vyeo na serikali wakiwasaliti walimu.
Naibu katibu mkuu Olouch ni moja kati ya waliofanya kazi hiyo ya kuwadhibiti makatibu hao wachache kama wapo na sasa unaona yaliyomkuta kwa kuwa yeye ni mwiba kwa chama.
Usaliti upo mahali pote what's needed is to be against totally kwa kuondoa msaliti.
Ikiwa yesu mwenyewe alisalitiwa itashindikanaje watusaliti chama kwa vyeo na pesa.
Tuko vizuri kuwabana kwa njia nyingi tatizo mkimjua mnaweka siri. Akishindwa katibu wa wilaya vuta waya mpigie wa mkoa naye akizingua vuta waya piga makao makuu kwa katibu mkuu.
Ni kweli Mkuu MJINI KUNOGA CHAI.......................Ingawa wengine kama wewe huona HAINOGI...................!!!!!Kweli wewe mjini chai, umenichekesha sina mbavu mimi daaaah una vituko mpaka hunogi wewe[emoji23][emoji23]
Super Sub Steve acha kuhangaika na email vuta waya ongea na mhusika moja kwa moja. Faida yake atakuuliza maswali kadhaa, atajua ulipo, atahitaji evidence kama unazo, atapanga ziara elekezi huko uliko nawe utapata majibu mazuri na kwa wakati.Hivi Email zenu Huwa mnajibu?Kupiga simu kwenye kituo chetu sidhani kama kuna mtu kafanya Ila Email Barua watu wameandika sana tu.Je Huwa mnajibu?
Mkuu hapa hatushindani Ila nimesema CWT ijichunguze kuna sehemu HUENDA hapapo sawa.Ainisha hayo matatizo.................!!!
Tumezoea togwa hiyo chai inaunguzaNi kweli Mkuu MJINI KUNOGA CHAI.......................Ingawa wengine kama wewe huona HAINOGI...................!!!!!
Kwanza kabisa sipo kwa ajili ya kushindana......wewe ni wale wale nathibitisha hili kwenye hiyo Tag yako.........Toeni maoni viongozi wayashughulikie......Uchaguzi umepita Mnatafuta nini.....? kuweni wavumilivu SOOON ''mtashiba''..........Mkuu hapa hatushindani Ila nimesema CWT ijichunguze kuna sehemu HUENDA hapapo sawa.
Sasa kama CWT hawana kawaida ya kufanya Tathmini Na kuona kila wanachofanya ni perfect akitokea mtu mwenye ushawishi akaweza kuweka ushawishi mzuri kuwa CWT ni cha ovyo cjui kama huo muda wa kuuliza kuwa ainisha matatizo utakwepo.Sana sana utaanza kujitetea kuwa CWT ipo vizuri kitu ambacho kitakuwa ni too late.
[HASHTAG]#Swali[/HASHTAG] Chonganishi nini maoni yako kwenye uongozi mpya ulioingia madarakani? Maana kuna mtu aliwekwa kwanza lock up ili uchaguzi upite.Mwisho akaachiwa Bila kufunguliwa mashtaka