swahibu ramadhani
Member
- Apr 30, 2021
- 49
- 28
- Thread starter
-
- #41
Mkuu msaada please [emoji120]Wewe ulikaa na tour guides wa kampuni gani hiyo?
Pia nataka kujua wewe unaongea kwa kiwango gani?
Kama hao wazungu wenye lugha yao wanaongea nao 24 hours na hawakosoi wanaelewana kwa asilimia 100 wewe ni nani mpaka uwakosoe?
Una -Question English Yangu? Nimekuwekea Clip Hapo. Kama bado unataka debate na mimi useme.Wewe ulikaa na tour guides wa kampuni gani hiyo?
Pia nataka kujua wewe unaongea kwa kiwango gani?
Kama hao wazungu wenye lugha yao wanaongea nao 24 hours na hawakosoi wanaelewana kwa asilimia 100 wewe ni nani mpaka uwakosoe?
Sina muda wa kubishana na watu wa JF Kama ww mimi..Wewe ulikaa na tour guides wa kampuni gani hiyo?
Pia nataka kujua wewe unaongea kwa kiwango gani?
Kama hao wazungu wenye lugha yao wanaongea nao 24 hours na hawakosoi wanaelewana kwa asilimia 100 wewe ni nani mpaka uwakosoe?
Ngoja kwanza nimshughulikie Mbu ya Dengue. 😂😂😂Halafu nitaona ninakusaidiajeNdo hivyo mkuu Sasa tutafanyeje.
Japo kwa sasa nimebanwa sana na responsibilities ila kuna program nitaifanya in the near future Arusha naamini itakusaidia.Ndo hivyo mkuu Sasa tutafanyeje.
Hiyo attachment isiyofunguka ni kitu gani hicho?Na kama unasema huna muda wa kubishana humu unafuata nini?Sina muda wa kubishana na watu wa JF Kama ww mimi.. View attachment 1935481
Mimi nahitahi mtu wa ku practice. Kama waweza nisaidia nitashukuru.Unataka mtu wa kupractice naye kuongea na kuandika kama kutumiana texts hivi?
Tatizo la nchi yetu hata waalimu wa kiingereza hawajui kuongea kiingereza labda cha kuandika tu, ili kuongea ni hatari pronouciation, Grammer comprehsion nk......kiingereza ni janga la taifa, kijana wala husiwatamani ni wa mbovu balaaMimi nahitahi mtu wa ku practice. Kama waweza nisaidia nitashukuru.
Nitumie namba wako Mdada. Nita-practice na ww sababu najua una points za maana za kujenga. We will just converse in English. Nitakupigia mimiYaani huwezi kabisa kama mtoto anayeanza kujifunza a e i...? Nilidhani unajua kidogo ili tuwe tunapractice kwa kuongea na kuandika sometimes 🤔
Niko Uswahilini mkuuupo arusha maeneo gani
You are right.Tatizo la nchi yetu hata waalimu wa kiingereza hawajui kuongea kiingereza labda cha kuandika tu, ili kuongea ni hatari pronouciation, Grammer comprehsion nk......kiingereza ni janga la taifa, kijana wala husiwatamani ni wa mbovu balaa
Nitashukuru mkuuJapo kwa sasa nimebanwa sana na responsibilities ila kuna program nitaifanya in the near future Arusha naamini itakusaidia.
Naweza tukawa tuna practice me and youMimi nahitahi mtu wa ku practice. Kama waweza nisaidia nitashukuru.
Kuna tofauti kubwa ya kiingereza anachoongea mtu ambaye ni lugha ameikuta na ambaye ameingia darasani kusoma. Kiingereza cha nigeria cha "You dey bust my brain" ni kigumu kukielewa hata kwa ambaye anajiona kaiva kiingereza.You are right.
Nchi za wenzetu Ghana,Nigeria,South Africa raia wote wanaongea kiingereza.
Sasa huku bongo hata ukiijua utaongea na nani mtaani
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Hao watu naishi nao huku Dubai,Nigerians,Ghanians sometimes wananipa tabu sana kuwaelewa wakiongea especially wale ambao wametokea villages wanachekesha sana.Kuna tofauti kubwa ya kiingereza anachoongea mtu ambaye ni lugha ameikuta na ambaye ameingia darasani kusoma. Kiingereza cha nigeria cha "You dey bust my brain" ni kigumu kukielewa hata kwa ambaye anajiona kaiva kiingereza.
No video is there,I use standard Samsung phone
Huyo jamaa ni pimbi sana anatafuta kiki kilazima.Nini hiki unaandika katika uzi wa mtu kutaka msaada?
No video is there,I use standard Samsung phone