Jaman mm nimeingia kwenye link ya second round! Nikachagua mwenge university college of education !mara wakanitumia sms you are successively selected!je inamaana tayari watanipeleka kwenye hicho chuo au bado kuna mchakato unaoendelea???
Tcu wamecharuka aiseeeee
kama tcu wametema cheche kaeni mbali vijana msije mkaungua!
Duuh cheche kwa second round applicants
Hapana wanaangalia ushindani,mimi nilimaliza 2003 tosa pcb nilipata DEE nimeomba KIU nimepata bpharm,jumla tuliomba 204 wenye sifa walikuwa 164 waliomba chaguo la kwanza walikuwa 36 tu,kiasi flani ina ukweli
eti huyu nae anaenda university hapo hujaelewa nini??Daaaaa kaka mm nimefanya wameniambia u have been selected so hapo cjaelewa ww imekuwqje
Tuanzie hapa kwanza, hiyo taarifa ya wewe kuwa second round umekuta sehemu au kwenye view my selection status?
Kwani ndugu umefika minimum admission point za. Chuo husika ,??
Mmh. Pengine competition tena....wewe jaribu tena uone kwa course tofauti na hiyo.
nimeikuta kweny view my selection status na nikaomba tena baada ya muda ikaniandikia i am not eligible lakini nkienda kwenue selected program ipo io inakuaje mkuu
kwanini msiwasiliane na tcu ? mnadhani nani atawasaidia hapa????