Naomba niulize, na matokeo ya selection Za vyuo wanaweza kutupatia lini?
Tatizo madogo wana jifanya wao ndio wajuaji.. mmemaliza form 6 yenu na jikusanya kwenye internet cafes mnaanza kujidanganya chagua medicine ina hela , chagua geology iko vizuri kinoma, achana na io chagua economics and statistics, hio kozi sio chagua sijui kitu gani, mwisho wasiku mkipigwa chini mnakuja kutusumbua humu.. kaeni na watu walio maliza vyuo ambao wako mitaani wawape ushauri nyie! Unadhani ukijaza medicine ndio utakua tajiri badae? Supplementary je umejiandaa kuzi kwepa?
Wadau anaejua msuli wa civil Jamini aniambie coz ni shida
wala sio mgumu. ni chaguo lako tuu. kulala ndo dili unalala semister nzima unaamka siku ya pepa na unatusua
Wakuu naomba nifahamishwe juu ya application for second round, je ambaye hujaomba ktk application ya kwanza unaruhusiwa kuomba au ipo km marejeo ya waombaji waliokosa kwenye maombi ya kwanza?
Ndio,kama hukuomba kabisa its your time unaweza kuapply kwenye second round
Wakuu naomba nifahamishwe juu ya application for second round, je ambaye hujaomba ktk application ya kwanza unaruhusiwa kuomba au ipo km marejeo ya waombaji waliokosa kwenye maombi ya kwanza?
Yeah kama hata hukuomba kwa mara ya kwanza unaweza ku apply
Ila choices zinakuwa limited
Ila pazia la round ya pili ndio bado halijafunguliwa au siyo, litapokuwa open tujuzane wakuu
system ya tcu . ilizingua .haya majina ni ya watu walio apply mwanzo kabisa
Hiyo kesi ni mwaka wa pili sasa inanikumba bt wanadai dirisha la seco round halijafunguliwa bado
Hahaha hata wa sociology hasomi namna hiyo.