Trophy
Senior Member
- Aug 21, 2014
- 110
- 65
Tatizo madogo wana jifanya wao ndio wajuaji.. mmemaliza form 6 yenu na jikusanya kwenye internet cafes mnaanza kujidanganya chagua medicine ina hela , chagua geology iko vizuri kinoma, achana na io chagua economics and statistics, hio kozi sio chagua sijui kitu gani, mwisho wasiku mkipigwa chini mnakuja kutusumbua humu.. kaeni na watu walio maliza vyuo ambao wako mitaani wawape ushauri nyie! Unadhani ukijaza medicine ndio utakua tajiri badae? Supplementary je umejiandaa kuzi kwepa?