Wewe ambaye umekuta koz zako zpo vilevle umeshachaguliwa moja kati ya hizo ulizojaza na ambae kaandliwa not yet done asubiri second round na kujaza ni kozi moja tu na ndo ambayo utakua umeipata
Wadogo zangu niwashauri kwa nyie mlioandikiwa not done yet application ni kwamba kati ya zile koz tano ulizoomba haujapata kutokana na ushindani na nafasi kujaa mnatakiwa kujaza hiyo kozi moja tu ambayo kama utakua umekizi vigezo utapata hyo hyo na ukichelewa nafasi zinajaa kwa maana hiyo ukijaza moja na fasi zinapungu na zikijaa kozi itaondoka automatic
Mwaka jana ilitukuta sisi. sasa kwa ambae unatakiwa kufanya second round nikudodose jaza hiyo koz moja mapema maana ndo utakua umeipata lkn kama umemeet requiment na ukichelewa zinapingua na utabakiwa na koz za ajabu na utakuja ujute.nawashauri jazeni mapemaAaaah kumbe nimekusoma blaza
Mwaka jana ilitukuta sisi. sasa kwa ambae unatakiwa kufanya second round nikudodose jaza hiyo koz moja mapema maana ndo utakua umeipata lkn kama umemeet requiment na ukichelewa zinapingua na utabakiwa na koz za ajabu na utakuja ujute.nawashauri jazeni mapema
Mm ndo ipo hivyooo
We umeshachaguliwa moja kati ya hizoMm ndo ipo hivyooo
Mpaka mda wao wa hao wa second round uishe.Umesomeka mzazi! Sema sasa itakuwa processed iv mbaka lini??
Wewe ambaye umekuta koz zako zpo vilevle umeshachaguliwa moja kati ya hizo ulizojaza na ambae kaandliwa not yet done asubiri second round na kujaza ni kozi moja tu na ndo ambayo utakua umeipata
Hahaha ni shidaaah yaanNa mimi niliambiwa hivyo ni balaaaa tupu, alafu vyuo unavyoletewa hata havujulikani kama vipo Tanzania hii
Mzee Fikiraduni
Nashukuru kwa kunikaribisha Mzee. Hizo sehemu nyingine ni zipi mbona sizioni? Hata hivyo, karibu sana Hapa Manzese kwa Mfuga Mbwa tupate Supu ya Mawe.
Me wana nambia processed kwenye selektion status
Saivi kwenye profile langu nimeandikiwa processed
Wakuu, leo nimeingia kwenye profile yangu ya t.c.u nikakuta selection program eti haipo na nkienda kwenye view my selection status inadai eti sijafanya application na wameniletea link ya second round application, msaada jaman wakuu mana nahisi kufa
Yaan ndo kozi iyo huna vigezo