Naomba msaada, TCU profile inaonesha sikufanya application

Naomba msaada, TCU profile inaonesha sikufanya application

Wewe ambaye umekuta koz zako zpo vilevle umeshachaguliwa moja kati ya hizo ulizojaza na ambae kaandliwa not yet done asubiri second round na kujaza ni kozi moja tu na ndo ambayo utakua umeipata

Aaaah kumbe nimekusoma blaza
 
Wadogo zangu niwashauri kwa nyie mlioandikiwa not done yet application ni kwamba kati ya zile koz tano ulizoomba haujapata kutokana na ushindani na nafasi kujaa mnatakiwa kujaza hiyo kozi moja tu ambayo kama utakua umekizi vigezo utapata hyo hyo na ukichelewa nafasi zinajaa kwa maana hiyo ukijaza moja na fasi zinapungu na zikijaa kozi itaondoka automatic

Huo ndo ukweli. Hata enzi zetu ilikuwa ivo.
 
Aaaah kumbe nimekusoma blaza
Mwaka jana ilitukuta sisi. sasa kwa ambae unatakiwa kufanya second round nikudodose jaza hiyo koz moja mapema maana ndo utakua umeipata lkn kama umemeet requiment na ukichelewa zinapingua na utabakiwa na koz za ajabu na utakuja ujute.nawashauri jazeni mapema
 
Mm ndo ipo hivyooo
 
Attachments

  • 1410335965998.jpg
    1410335965998.jpg
    17.9 KB · Views: 356
Mwaka jana ilitukuta sisi. sasa kwa ambae unatakiwa kufanya second round nikudodose jaza hiyo koz moja mapema maana ndo utakua umeipata lkn kama umemeet requiment na ukichelewa zinapingua na utabakiwa na koz za ajabu na utakuja ujute.nawashauri jazeni mapema

Umesomeka mzazi! Sema sasa itakuwa processed iv mbaka lini??
 
Kuna mmoja nimeangalia anaambiwa hajafanya application,ila kwenye selected program wamefuta zimebaki mbili tu,
Wewe ambaye umekuta koz zako zpo vilevle umeshachaguliwa moja kati ya hizo ulizojaza na ambae kaandliwa not yet done asubiri second round na kujaza ni kozi moja tu na ndo ambayo utakua umeipata
 
jmn profile lang kwny selection status naandikiwa In progress
na Met min requirement naandikiwa PROCESSED.
Kwa hiyo inamaanisha naweza kufanikiwa au..?
Coz mwanzo niliambiwa sikufany application.
 
Saivi kwenye profile langu nimeandikiwa processed
 
Mzee Fikiraduni

Nashukuru kwa kunikaribisha Mzee. Hizo sehemu nyingine ni zipi mbona sizioni? Hata hivyo, karibu sana Hapa Manzese kwa Mfuga Mbwa tupate Supu ya Mawe.

Na mim ngoja nicheki tena
 
Mm jamani hata sielewi kabisa mbona naandikiwa processed lakini kwenye selection zangu zote empty kabisa halafu wanasema you have not done applicatio hata sielewi nitafanyaje aisee?
 
Mwana,jaza hzo hzo coz walizokupa ili uende 2 chuo then utabadir kule ..kama second round ya zingua basi itabidi usubir dirisha lifunguliwe ..daa ila pole waxkaji
 
Wakuu, leo nimeingia kwenye profile yangu ya t.c.u nikakuta selection program eti haipo na nkienda kwenye view my selection status inadai eti sijafanya application na wameniletea link ya second round application, msaada jaman wakuu mana nahisi kufa

inawezekana wakati una apply pale chini hukuweka tiki kwenye vibox 2 vyenye maandishi mekundu - moja wapo ikihusu kukubali kuwa mkopo sio automic kuupata.

AU ulifanya editing ya chaguo lako na tene huku save changes au na kukubali zile conditions 2 pale chini.

ningekushauri hata kwenye 2nd round uziangalie conditions na kusave mabadiliko
 
Wadogo zangu niwashauri kwa nyie mlioandikiwa not done yet application ni kwamba kati ya zile koz tano ulizoomba haujapata kutokana na ushindani na nafasi kujaa mnatakiwa kujaza hiyo kozi moja tu ambayo kama utakua umekizi vigezo utapata hyo hyo na ukichelewa nafasi zinajaa kwa maana hiyo ukijaza moja na fasi zinapungu na zikijaa kozi itaondoka automatic

kuna uwezekano mkubwa pia kuwa hakukamilisha application yake kwa kuweka tiki kwenye vibox 2 pale chini vyenye maandishi mekundu na huenda hakurudi kukagua application yake hadi muda ulipopita. Au wakati anajaza alifanya editing na haku save changes

SELECTION bado walichofanya ni ku process applications wakati wakiangalia kama vigezo vinakidhi au la. kwa alieandikiwa PROCESSED kama mimi kuna note inatutaka tusubiri kama tuna qualify au vipi na tumeaswa tuwe tunacheki akaunti zetu mara kwa mara. weka pointer kwenye maandishi PROCESSED utaona maelekezo.
 
Back
Top Bottom