Naomba msaada, TCU profile inaonesha sikufanya application

Archbishop James University College (AJUCO) AJ
 
kuna majina 12867 wanatakiwa kufanya second selection
 
kiasi flani ina ukweli

hapo ujue hizo kozi alizochagua zilikuwa na watu waliofaulu zaidi yake so kashindwa ushindani.

unakuta watu wana one ye ana two hawezi achwa mwenye one akachumuliwa yeye
 
Umu wanasema u have successifully been selected but swali ni kwamba ukiclick pale kwenye application unakuta page ya second selection

hata mimi nikiingia hapo kwenye Application napata hiyo second round pamoja na coz na vyuo. Lakini kwenye my profile kumeandi kwa "PROCESSED. YOU HAVE SUCCESSFULL SELECTED". Watu juze kwa wale wanaojua zaidi juu ya jambo hili wakuu.
 
Usiwe na presha, subiri kuchaguliwa kati ya vyuo ulivyochagua

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
hata mimi nikiingia hapo kwenye Application napata hiyo second round pamoja na coz na vyuo. Lakini kwenye my profile kumeandi kwa "PROCESSED. YOU HAVE SUCCESSFULL SELECTED". Watu juze kwa wale wanaojua zaidi juu ya jambo hili wakuu.

Mkuu hiyo second round umeipata wapi au kwenye hiyo SELECTED PROGRAMS?
 
hata mimi nikiingia hapo kwenye Application napata hiyo second round pamoja na coz na vyuo. Lakini kwenye my profile kumeandi kwa "PROCESSED. YOU HAVE SUCCESSFULL SELECTED". Watu juze kwa wale wanaojua zaidi juu ya jambo hili wakuu.

Nenda kwenye majina ya wanaotakiwa kuapply second around ukaconfirm mkuu

Haina kulala,wahi atleast upate course nzuri chache zilizobaki
 
Chini kabisa kuna link ya select second round lakin pamoja na hivyo public institution zote full vimebaki private tu au nimrkosea jaman !
 
Yaan cjapata jibu sahihi asee kwa sababu gani icho kibox cha application kina option ya second selection wakati Washaandika U have been selected successifully
 
Jamani my profile wameandika processed
mwenye taarifa anisaidie juu ya majibu hayo mwenzie presha iko juu

soma maliza chini ya hilo jedwali utakuta PROCESSED SUCCESSFULLY. YOU HAVE BEEN SELECTED - NDO IMETOKA HIYO WEWE NI KUSUBIRI CHUO GANI UNAENDA
 
Yaan cjapata jibu sahihi asee kwa sababu gani icho kibox cha application kina option ya second selection wakati Washaandika U have been selected successifully

Jina lako lipo kwenye list of second round applicants???
 
Make re-application b4 15th of this month under a single fauculty that you will be given via ua acc.otherwiz u will be a looser,never mind bcz where there z a will even the way z there too.
 
m mwenyewe nilipata div. 3 ya 14 2012 yan BSS comb pcm nimerisit mwaka huu nkapata C ya phy bt wamentema

kuna condition kwa mfano sauti wanakwambia iwe ni hizo cut off point ni katk seat moja na sio seats mbili. yaan uwe umezipata ktka mwaka mmoja. but isiwe kesi may be ni katika competition umeshindwa fanya tu jiyo second mapema maana ukichelewa unabakiwa na vyuo ambavuo hujawahi vipenda .

hii second unakuta ina limit idadi ya watu kw kila chuo walichokupa uchague mayb ni watu 100 tu so wakijaa ndo vile tenaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…