Naomba msaada, TCU profile inaonesha sikufanya application

Naomba msaada, TCU profile inaonesha sikufanya application

Mm nataka kujua second around zitafanywa lini leo au kesho na tutajuaje??????
Tutaongea mengi hapa maji yasha mwagika aiaeeee mie mnipe jibu hiyo second around ni lin leo au maana hapa nafanya ila cwez confirm plzzzzz nisaidien
 
Jamani second around itafunguliwa sa ngap au lini maaana hapa nafanya ila cwez ku cormfim so cjui hapo inakuwajee
 
Msaada jaman kwa upande wangu nimeandikiwa" YOU HAVE NOT YET DONE APPLICATION"sielewi kinachofuata baada ya hapo nisaidien jaman!!
 
yani haya si majanga jaman?kuna mchizi cbg mwaka f6 2013 alipata div3 ya 14,chem E,geo E,bio D,gs F,bam F,jamaa anapenda geology,pharmacy,medical lab,md&nursing so akajitosa kurisit bahati mambo yamekuja level f6 2014 amepata dv2 point 9, gs D,chem B,bio B,geo B,bam C then akaaply md(cuhas),bpharm (stjohn),bsc nursing(muhas),bsc geology(udsm)&b of nursing (stjohn)..et anasema leo kaingia kwny akaunt yake kakuta kaandikiwa "SORRY YOU HAVE NOT YET DONE APPLICATION WELCOME TO 2ND ROUND APPLICATION"..ina maana hawa tcu huwa wana consider kwanza applicants waliomaliza f6 mwaka huo wa application?mbona kuna wenye dv3 za point 13 mwaka huu akaunti zao hazijazinguliwa na ukiangalia wameapply sehemu zenye competition mpaka hapa hakuna hata umaana wa tcu jamani
 
Vijana huo msaala wa second round ulinikut mwka jan, kama profl yko iko vlvle lazmaaa uchagulwe kat ya koz ulizoomba na kam prfl yko inaonesh ujafny aplctn ujue comptn imekuwa kubwa na umekosa, ivyo bas koz zilzobk hazna wa2 ndo unatakiw ujaze, unavyozd kuchelew koz ikshaja nayo inaondoka "system based on first to come first to save"
 
Kwangu juu ipo proccessed ila nikifungua selected course "not yet done application" nakumbuka viboksi nilitiki kabisa, mtu wa TCU kama yupo jamani toa maelezo, hapa bora application za zamani tu za digital uhuni tu
 
Ingia kwenye profile ako sahiz kuna melekezo wameweka co mda wana sema kama wamekuambia NO au checking in progress kuna sehem wamesema uclick ucheck for ur eligibility
 
Sasa you are not selected please click here for re apply for the second round , ila nimeenda uko nachagua nikitaka ku comfirm ipo faint pia kitu kingine kuna coz niliichagua afu second round naiona tena na uku first round ilikataa je nikiomba tena inakuaje?
 
yani haya si majanga jaman?kuna mchizi cbg mwaka f6 2013 alipata div3 ya 14,chem E,geo E,bio D,gs F,bam F,jamaa anapenda geology,pharmacy,medical lab,md&nursing so akajitosa kurisit bahati mambo yamekuja level f6 2014 amepata dv2 point 9, gs D,chem B,bio B,geo B,bam C then akaaply md(cuhas),bpharm (stjohn),bsc nursing(muhas),bsc geology(udsm)&b of nursing (stjohn)..et anasema leo kaingia kwny akaunt yake kakuta kaandikiwa "SORRY YOU HAVE NOT YET DONE APPLICATION WELCOME TO 2ND ROUND APPLICATION"..ina maana hawa tcu huwa wana consider kwanza applicants waliomaliza f6 mwaka huo wa application?mbona kuna wenye dv3 za point 13 mwaka huu akaunti zao hazijazinguliwa na ukiangalia wameapply sehemu zenye competition mpaka hapa hakuna hata umaana wa tcu jamani
mi nahic wanawachek waliomaliza mwaka huu kwanza wenye BRN thn wazaman wanafata. na walivyoweng nafasi zote wakamaliza
 
Kwangu imetokea namna hii
 
Attachments

  • 1410351268297.jpg
    1410351268297.jpg
    62.1 KB · Views: 239
kuna uwezekano mkubwa pia kuwa hakukamilisha application yake kwa kuweka tiki kwenye vibox 2 pale chini vyenye maandishi mekundu na huenda hakurudi kukagua application yake hadi muda ulipopita. Au wakati anajaza alifanya editing na haku save changes

SELECTION bado walichofanya ni ku process applications wakati wakiangalia kama vigezo vinakidhi au la. kwa alieandikiwa PROCESSED kama mimi kuna note inatutaka tusubiri kama tuna qualify au vipi na tumeaswa tuwe tunacheki akaunti zetu mara kwa mara. weka pointer kwenye maandishi PROCESSED utaona maelekezo.

mimi nimeandikiwa maelezo kwa chini kwamba
PROCESSED SUCCESSFULLY. YOU HAVE BEEN SELECTED
 
TCU applicants wote angalieni profile zetu, kimuonekano kimbunga cha ualimu kitakua nafuu inakuja sunami ya TCU..!
 
Back
Top Bottom