Wakuu nimefika maji ya shingo mwanaume mwenzenu tafadhali.
Ninamke wakuu ila tatizo kwngu uume unalegea katikati ya tendo alafu pia majuzi nilikuja na uzi wa kuomba mafuta ya kulainisha ili iwe rahisi kuingiza dusher katika uke wa mke wangu kutokana na uume wangu kulegea baadhi ya muda hivyo unakuwa hauingii vizuri.
Ajabu ni kwamba
Nikiamka asubuhi uume unasimama na unakuwa mgumu kama msumari mpaka wife mwenyewe anasifia mmmh mume mbona mgumu kama jiwe.
Nikiwa katika romance unakomaa haswa unakuwa mgumu kweli kweli ila nikianza kuingiza mda fulani unalegea legea.
Sehemu zingine zote uume unasimama imara ila nikiwa katika tendo daaaah inauma sana alafu wife yuko vizuri wakuu nusura nilie machozi kwa sababu ishUK naitamani ila jogoo kalegea,natamani ikisimama tu kama msumari niingize ili iingie udhuuuriii lakini naona sio vyema kuingiza kabla ya kumuandaa naye ataumia.
Nimeacha punyeto mda sana ila nilichukulia kawaida sikutaka kujitibu kwa sababu sikuamini kama imeniathiri.
WAKUU MWENYE NJIA YA KUNISAIDIA TAFADHALI AILETE TAFADHALI SANA WAKUU NAWAOMBENI
Kama wakuu wengine walivyo kwisha kushauri nami nachukua fursa ya kukusisitiza fanya mazoezi.
Pili ambalo pia ni muhimu sana, unapofanya tendo la ndoa usitumie nguvu nyingi sana, kiasi kwamba misuli yako ikawa inatumika mno.
Kuwa na uume mgumu unahitaji damu nyingi na hasa ukizingatia ukubwa wake, kwa hiyo unapotumia nguvu nyingi ina maana misuli yako inahitaji damu nyingi pia ili iweze fanya kazi kwa ufanisi.
Sasa ukitumia nguvu nyingi ina maana
unahitaji more energy ili kuuwezesha mwili wako ku-move up and down au back and forth na hivyo kusababisha organs zako kama kiuno, mapaja, miguu, mikono na ndiyo, ambazo zina misuli mingi iweze kuusukuma mwili kwenye positions hizo tofauti.
Kwa vile mwili wa binadam hauna reserve ya damu, inafika wakati misuli inakosa oxygen kwa ajili ya combustion kwenye engines (mitochondria) za cells za misuli
ili ku-produce more energy kwa ajili ya dilation na contraction ya hiyo misuli ya organs nilizo zitaja hapo juu.
Ebu jijuze kidogo kwenye hii link;
Kwa hali hiyo ubongo unapata signal kuwa nguvu zinaisha kwenye misuli na ndipo hapo testosterones (male sex hormones) ambazo zina control mechanism ya sexual organs kama ku-pump damu kwenye uume na kadhalika, ku-induce uume wako kulegeza valves ambazo zinazuia damu kwenye uume wako ukiwa katika erected state na kuiacha damu iingie tena kwenye blood vessels ili ikachukue oxygen kwenye mapafu na kuipeleka kwenye cells za misuli ili ikasaidie kuzifanya cells engines mitochondria ku-boost energy ili mwili usi-collaps na wewe kupoteza maisha.
Mwili kama organism au system priority yake ya kwanza ni kuku-keep wewe alive. Hayo mambo ya reproduction sio crucial katika maisha. Ndipo hapo unajisikia uume wako una lala. Ubongo una block activities za testosterone (male sex hormone) kupeleka damu tena kwenye uume wako.
Punguza activities kubwa kwenye Tendo la ndoa kama huna mapafu ya kutosha, utakufa!