Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama wakuu wengine walivyo kwisha kushauri nami nachukua fursa ya kukusisitiza fanya mazoezi.Wakuu nimefika maji ya shingo mwanaume mwenzenu tafadhali.
Ninamke wakuu ila tatizo kwngu uume unalegea katikati ya tendo alafu pia majuzi nilikuja na uzi wa kuomba mafuta ya kulainisha ili iwe rahisi kuingiza dusher katika uke wa mke wangu kutokana na uume wangu kulegea baadhi ya muda hivyo unakuwa hauingii vizuri.
Ajabu ni kwamba
Nikiamka asubuhi uume unasimama na unakuwa mgumu kama msumari mpaka wife mwenyewe anasifia mmmh mume mbona mgumu kama jiwe.
Nikiwa katika romance unakomaa haswa unakuwa mgumu kweli kweli ila nikianza kuingiza mda fulani unalegea legea.
Sehemu zingine zote uume unasimama imara ila nikiwa katika tendo daaaah inauma sana alafu wife yuko vizuri wakuu nusura nilie machozi kwa sababu ishUK naitamani ila jogoo kalegea,natamani ikisimama tu kama msumari niingize ili iingie udhuuuriii lakini naona sio vyema kuingiza kabla ya kumuandaa naye ataumia.
Nimeacha punyeto mda sana ila nilichukulia kawaida sikutaka kujitibu kwa sababu sikuamini kama imeniathiri.
WAKUU MWENYE NJIA YA KUNISAIDIA TAFADHALI AILETE TAFADHALI SANA WAKUU NAWAOMBENI
Asante weka na maoni basi ndugu yanguPole Sana
Mkuu sukari ninayo ndani kama kilo hivi nilinunua kama mwez nyuma saiv inakaribia kuisha,nina mpango nikanunue nyingine.Utakuwa na sukari aisee jamaa
Mkuu sukari ninayo ndani kama kilo hivi nilinunua kama mwez nyuma saiv inakaribia kuisha,nina mpango nikanunue nyingine.
Muhimu sana kwa chai
Sio sukari hiyo aisee jamaa, ni sukari kwenye damu yako , yaani kiwango cha sukari kwenye damu yako kitakuwa juu, pia pengine una stress za maisha
HahahahaAcha kuangalia video za ngono
Nilishaachaga mda sana hayo madudu mkuuAcha kuangalia video za ngono
Mh mkuu kweli kwa maisha yetu uchukue 40000 mkalale gest na wefi uache geto kwako daaa akili nyingineSometimes kuna mengi!! Inawezekana ni hisia zako zinazokufelisha kabisa!! Ama haupo sawa kiakili labda kuna jambo linakukabili ilitaka kupelekea stress!! Hizo ndizo athari zake.
Pili, badilisha mazingira na mkeo!! Siku moja badala ya kulala ndani tumieni 40,000 tuu toka nenda hotel mbali na hapo mkalale huko!! Kuzoea sana mazingira husababisha jambo lile kufanyika vile vile kila siku katika style zile zile maeneo yaleyale lazima akili ichoke jombaa!!
Tatu, punguza chips na soda!! Sikupigi dongo ila namaanisha inawezekana kuna vyakula unakula sana vinapelekea wewe kupata fatigue na hujielewi!! Matokeo yake ukitulia anasimama ukianza kujishughulisha ndipo athari zinaonekana na hapo ndo unashindwa kuendelea na tendo mzeebaba anageuka konokono anarudi katika jumba lake!!
Mwisho, mazoezi ni kila kitu!! Mwili ukiwa vizuri kila kitu kitakwenda sawa katika mwili kuanzia na akili hadi duduwasha ataweza kuwajibika vyema na kukata kiu ya mkeo!!
Kionjo: Kama mkeo ni mama wa nyumbani basi mpendezeshe, hadi ukikaa nae karibu unajisi eeeeh upo na chombo!! Ianwezeka a yupo rafurafu na akili imemkataa yaan amekuwa si viwango vyako tena
Mh mkuu kweli kwa maisha yetu uchukue 40000 mkalale gest na wefi uache geto kwako daaa akili nyingine
Wakuu nimefika maji ya shingo mwanaume mwenzenu tafadhali.
Ninamke wakuu ila tatizo kwngu uume unalegea katikati ya tendo alafu pia majuzi nilikuja na uzi wa kuomba mafuta ya kulainisha ili iwe rahisi kuingiza dusher katika uke wa mke wangu kutokana na uume wangu kulegea baadhi ya muda hivyo unakuwa hauingii vizuri.
Ajabu ni kwamba
Nikiamka asubuhi uume unasimama na unakuwa mgumu kama msumari mpaka wife mwenyewe anasifia mmmh mume mbona mgumu kama jiwe.
Nikiwa katika romance unakomaa haswa unakuwa mgumu kweli kweli ila nikianza kuingiza mda fulani unalegea legea.
Sehemu zingine zote uume unasimama imara ila nikiwa katika tendo daaaah inauma sana alafu wife yuko vizuri wakuu nusura nilie machozi kwa sababu ishUK naitamani ila jogoo kalegea,natamani ikisimama tu kama msumari niingize ili iingie udhuuuriii lakini naona sio vyema kuingiza kabla ya kumuandaa naye ataumia.
Nimeacha punyeto mda sana ila nilichukulia kawaida sikutaka kujitibu kwa sababu sikuamini kama imeniathiri.
WAKUU MWENYE NJIA YA KUNISAIDIA TAFADHALI AILETE TAFADHALI SANA WAKUU NAWAOMBENI
Kwa hap dar ni wapi panawataalamu wazuri wa saikoloji ?Hiyo ni psychological effect...,wakat wa tendo la ndoa so waone wataalam watakupa tiba
Hilo tatizo la misuli kuwahi kulegea kutokana na punyeto linatibika? Ni nini tiba yake.Hakuna cha pepo wala kimbunga,
Hilo ni tatizo either la msuli kuwahi kulegea,ambalo husababishwa na punyeto sana na kukosa mazoezi sahihi,
Au mzunguko hafifu wa damu ktk kichwa cha utupu,maana kusimama ni matokeo ya msukumo wa damu ya kutosha ktk kichwa cha tupu muda wote wa tendo,
Ama matatizo ya maradhi km kisukari,pressure nk
Au tatizo la kisaikolojia
Muda wowote, remember usifanye mazoezi kila siku, pumzika walau siku 2 ili mwili upuumzike... Pia google "kegel exercise" it will helpMkuu naweza fanya mazoezi jioni ama vizuri zaidi iwe asubuhiiii?
Asante sana.Muda wowote, remember usifanye mazoezi kila siku, pumzika walau siku 2 ili mwili upuumzike... Pia google "kegel exercise" it will help