Una umri gani?Naomba mnisaidie nina matatizo nimeacha chuo sina ada nyumbani hali ngumu hata nauli wameshindwa kunipa nakaa kwa rafiki, mguu wangu mbovu
Naweza kazi zote za mikono kupika kufua. kazi za stationary pia naweza nimewahi pia kuuza duka na kazi zote ambazo haziitaji kutembea sana maana ni mlemavu wa mguu..
Mungu awabariki sana🙏🙏
miaka 23Una umri gani?
Uko mkoa gani? Ulemavu au ugumu wa maisha mara nyingi si kigezo cha kupata kazi. Uwezo na utaalam pekee. Kwa nn usifanye biashara. Andaa bajeti plan weka hapa watu watachanga regarding to. Na huu ulemavu wa miguu watu wauone hapa mana sote tunafaham shida haimpat mtu mmojamiaka 23
Njoo inboxNaomba mnisaidie nina matatizo nimeacha chuo sina ada nyumbani hali ngumu hata nauli wameshindwa kunipa nakaa kwa rafiki, mguu wangu mbovu
Naweza kazi zote za mikono kupika kufua. kazi za stationary pia naweza nimewahi pia kuuza duka na kazi zote ambazo haziitaji kutembea sana maana ni mlemavu wa mguu..
Mungu awabariki sana🙏🙏
naweza kufanya biashara yoyote hata genge au icecream naweza kuuza maana nyumbani ni njia karibushule wanapita wanafunzi wengiUko mkoa gani? Ulemavu au ugumu wa maisha mara nyingi si kigezo cha kupata kazi. Uwezo na utaalam pekee. Kwa nn usifanye biashara. Andaa bajeti plan weka hapa watu watachanga regarding to. Na huu ulemavu wa miguu watu wauone hapa mana sote tunafaham shida haimpat mtu mmoja
aminaPole sana, Mungu akutie nguvu upate haja ya moyo wako around these days katika jina la Yesu. Amini
Mtafte huyu ukikwama rudi tena hapahapa tuliongelee kama kuchanga inshalla tutachanga hakuna shidaNjoo inbox