king suleman
JF-Expert Member
- Jun 28, 2014
- 1,749
- 1,149
Kibarua kipo Dada ila kwa muda boss kafunga alikuwa na matatizo yake,ila nimekwama toka mwezi December, sina namba zaidi ya kuomba wenzangu kunipa nguvu Wakati nikisubiria kujishughulishamdogo wangu ni heri ungetafuta vibarua !hala hala !
Kibarua kipo Dada ila kwa muda boss kafunga alikuwa na matatizo yake,ila nimekwama toka mwezi December, sina namba zaidi ya kuomba wenzangu kunipa nguvu Wakati nikisubiria kujishughulisha
hawez kukuelewa kuhusu malema !ametaitika sana saidia babaHata miezi mi3 JF hujafikisha, ushaanza kulia lia! BTW Jina lako linasound kama ndugu yake Julius Malema?
Sio akujazie!!!!Ivi nyie wanawake mmelogwa????unasema et mung amjazie unafikir akishakupa wat next?yani no free lunch in capitalist nationBarikiwa kaka,Mungu akujazie zaidi
Tatizo la hii JF huwezi kujua kama kweli mtu anashida au anafanya masihara tu. Inakuwa ngumu sana kuwaamini members wa humu ndani.Za leo ndugu zangu,
Naitwa Thandiwe, ni mkazi wa Dar lakini kwa sasa nipo mkoani. Kiukweli hali ya maisha imekuwa ngumu hatukatai ndugu zangu hasa sisi tuliopo mikoani kwa sasa ila kiukweli, kuna wengine tunashindwa jihusisha na mambo yasiyo na maadili ili kujipatia kipato, kwani ninaamini kheri kuomba msaada unapokwama kuliko kujificha na kufa na njaa.
Ombi langu kwenu wenzangu, msaada wa kiasi chochote cha pesa ili kusukuma siku wakati nikiendelea kufuatilia ajira. Kwa yeyote atakaeguswa nipo tayari kuweka mawasiliano yangu PM ili kujieleza zaidi.
Mungu awabariki wote watafutaji.
hahaha my ribsSio akujazie!!!!Ivi nyie wanawake mmelogwa????unasema et mung amjazie unafikir akishakupa wat next?yani no free lunch in capitalist nation
Ama kweli vyuma vimekaza kwa upande was madada.EMB toa mtazamo wako juu ya hii commnt.Ilaa mmesahau jins mnavotutosaa sisi vidume!!!!!!!!!!Hahahhahahah navikazee zaidAhsante, habari ya leo
Af wewe kama mimi tu njoo nkusaidiee.Uko wapSasa nimetimiza 26
Usimuumbue mkuuuUnadhani duniani kuna siri
Hujaelewa nini?anaeza ata akajitokeza Alonso akakuoa mkuuBei ya nini ndugu
Ussichekee sana@bintizazahahaha my ribs
Ukipewa hiyo 15% usisite kunipitishia ndugu yako 3% chondechonde dia undugu kufaana sio kufananaDuh haya..ukifika tar 23 nikumbushe