Naomba msaada wa kiasi chochote cha fedha niweze kujikimu kwa muda nitafutao ajira

Naomba msaada wa kiasi chochote cha fedha niweze kujikimu kwa muda nitafutao ajira

Hyo Avatar Mmmh? Haiendan Na Hali Unayoelezea Ila Kwa Nn Usiombe Kaz?
Mavazi husitiri hali halisi,lakini kuna muda twabeba wallets zikiwa na nauli tu ya kwenda kibaruani na kurejea nyumbani
 
Za leo ndugu zangu,

Naitwa Thandiwe, ni mkazi wa Dar lakini kwa sasa nipo mkoani. Kiukweli hali ya maisha imekuwa ngumu hatukatai ndugu zangu hasa sisi tuliopo mikoani kwa sasa ila kiukweli, kuna wengine tunashindwa jihusisha na mambo yasiyo na maadili ili kujipatia kipato, kwani ninaamini kheri kuomba msaada unapokwama kuliko kujificha na kufa na njaa.

Ombi langu kwenu wenzangu, msaada wa kiasi chochote cha pesa ili kusukuma siku wakati nikiendelea kufuatilia ajira. Kwa yeyote atakaeguswa nipo tayari kuweka mawasiliano yangu PM ili kujieleza zaidi.

Mungu awabariki wote watafutaji.
Tatizo la hii JF huwezi kujua kama kweli mtu anashida au anafanya masihara tu. Inakuwa ngumu sana kuwaamini members wa humu ndani.
 
upo mbeya sehemu gani na unatafuta kazi ya aina gani,
ikiwezekana nikusaidie kupata kazi hapo mbeya kuna vibosile ni marafiki zangu haswaa
 
Back
Top Bottom