you to sound so soft lazima atakwenda likititokea lolote jipange kuwa mshenga!Nenda pm kamsaidie mwenzio.
Akikujibu naomba unitaguna miaka mingapi
Hamchelew kuthaminisha!anyway kasema 26Akikujibu naomba unitag
Kama ofisi imefungwa kwa muda, nibora ungeuza hiyo sim ili uweze kujikimu kwa muda wakati unasubiria huo muda wa ofisi kufunguliwa na wakatihuo unatafuta kibarua sehem yeyote ili upate kujikimu kwa muda.Nashukuru kwa ushauri,ila nimekuwa nafanya sehemu,ila kwa sasa office imefungwa kwa muda sio moja kwa moja
Jf now days imebadilika sana mkuu, huwezi kujua nani muongo na yupi mkweli.Tatizo la hii JF huwezi kujua kama kweli mtu anashida au anafanya masihara tu. Inakuwa ngumu sana kuwaamini members wa humu ndani.
Naona yeye anaomba hela, sijaona akiomba kazi....upo mbeya sehemu gani na unatafuta kazi ya aina gani,
ikiwezekana nikusaidie kupata kazi hapo mbeya kuna vibosile ni marafiki zangu haswaa
WordTatizo nshaingizwa chaka mara nyingi mno hadi akili imeniingia...
Na hapo ndipo ninapo pata mashaka hata akili yangu inaanza kuhisi huyu ni Me.Unashauriwa ufanyiwe mpango wa kazi unadai kibarua unacho ila ofisi imefungwa kwa muda. Sasa kwa nini usikubali utafutiwe kazi kuliko kusubiri kazi ambayo haina uhakika?
hata mimi ndicho ninachokiwaza hakuna evidence ya kuconfirm kuwa ni kweli mhusika yuko na changamotoTatizo la hii JF huwezi kujua kama kweli mtu anashida au anafanya masihara tu. Inakuwa ngumu sana kuwaamini members wa humu ndani.
Teh..usijali.Ukipewa hiyo 15% usisite kunipitishia ndugu yako 3% chondechonde dia undugu kufaana sio kufanana
Mshenga???? Hapana aiseeyou to sound so soft lazima atakwenda likititokea lolote jipange kuwa mshenga!