Naomba msaada wa kiasi chochote cha fedha niweze kujikimu kwa muda nitafutao ajira

Naomba msaada wa kiasi chochote cha fedha niweze kujikimu kwa muda nitafutao ajira

Mungu akufanyie wepesi ndugu ila jitahidi kufanya chochote huko uliko utatoka tu usitegemee mikono mingine tegemea mikono yako itakubarikia
 
Unashauriwa ufanyiwe mpango wa kazi unadai kibarua unacho ila ofisi imefungwa kwa muda. Sasa kwa nini usikubali utafutiwe kazi kuliko kusubiri kazi ambayo haina uhakika?
 
Nashukuru kwa ushauri,ila nimekuwa nafanya sehemu,ila kwa sasa office imefungwa kwa muda sio moja kwa moja
Kama ofisi imefungwa kwa muda, nibora ungeuza hiyo sim ili uweze kujikimu kwa muda wakati unasubiria huo muda wa ofisi kufunguliwa na wakatihuo unatafuta kibarua sehem yeyote ili upate kujikimu kwa muda.
Zaidi ya hapo naona kama unajiweka hatarini kunaswa na wanaume wanaume wenye tamaa ya kukufanya kwakua wanajua unashida.
Samahani kwa ushauri wangu mbaya/mchungu, lakini huo ndio ukweli
 
Screenshot_2018-01-17-16-31-58.png

Kwani huyo ndio wewe....[emoji39] [emoji39] [emoji39]
 
Tatizo la hii JF huwezi kujua kama kweli mtu anashida au anafanya masihara tu. Inakuwa ngumu sana kuwaamini members wa humu ndani.
Jf now days imebadilika sana mkuu, huwezi kujua nani muongo na yupi mkweli.
Binafsi nilisha poteza imani kabisa na jf members
 
Unashauriwa ufanyiwe mpango wa kazi unadai kibarua unacho ila ofisi imefungwa kwa muda. Sasa kwa nini usikubali utafutiwe kazi kuliko kusubiri kazi ambayo haina uhakika?
Na hapo ndipo ninapo pata mashaka hata akili yangu inaanza kuhisi huyu ni Me.
"I'm sorry mleta mada, huo ni mtazamo wangu"
 
Tatizo letu watanzania tunapenda kuomba hela...(tunda lililoiva Ila kuivisha hatutaki).
Omba kitu ambacho kitakusaidia ukapata pesa na sio kuomba pesa....watu wapo maofisini unaweza ukapata mahali wakakuweka ukawa unapata pesa ya kula....swala LA kuombana pesa ni mambo ya kizamani na inaonyesha wazi kuwa we ni mvivu
 
nini sasa si umemtuma mwenyewe? akikolea lazima arudi kwako msaidie nani kakwambia mshenga lazima awe mwanaume? umemtuma akamtoe mtu kwenye tope unafikiri nani atamrushia kamba we ngoja tuone mchezo unavyokwenda utaniambia ndo utajua nokia ya kitochi yafaa kwa daktari
 
Pole sana ungeomba hata kusaidiwa hela ya kabiashara hata kutembeza matunda au biashara yoyote ndogo Mungu akusaidie hitaji lako utasaidiwa leo ya kula kesho ukiamka unatakiwa hela nyingine ya kujikimu
 
Back
Top Bottom