white wizard
JF-Expert Member
- May 18, 2011
- 8,566
- 13,770
Ndio tatizo la watu,mtu akitaka kukuelewesha jambo ambalo huenda hulijui unaanza vijembe tena!!hahaaaaya mzungu tupe tofuat sasa ya Mungu na mungu
God ni Mungu.
god ni miungu(anaweza akawa ng'ombe,nyoka)kitu chochote unachokiamini kuwa ni Mungu wako.