Naomba Msaada wa Kibarua

Naomba Msaada wa Kibarua

Ndio tatizo la watu,mtu akitaka kukuelewesha jambo ambalo huenda hulijui unaanza vijembe tena!!hahaaa
God ni Mungu.
god ni miungu(anaweza akawa ng'ombe,nyoka)kitu chochote unachokiamini kuwa ni Mungu wako.
[/QUOT thex boss japo umebugi kidogo
 
Au nenda mjini pale posta kuna parking kubwa ya magari, inaangaliana na wizara ya mambo ya ndani, waone jamaa pale waambie mi muosha magari jitambulishe vzuri, ukielewana nao wahi mapema siku inayofuata anza kazi. Kuosha gari moja 3,000 zinapaki gari zaid ya 50 huwez kosa gari 5 mpaka 10 za kuosha kila siku. Walionza pale saiv wengi wameajiriwa na posta kukusanya mapato sijaona muosha magari mpya hivi karibuni wahi mapema pale
Wizara ya mambo ya ndani ipo mtaa gani
 
unatafuta kazi ya aina gani maeneo gani maana isije ukawa kama kijana mmoja alinishangaza amehitimu SUA masuala ya kilimo lakini hataki kazi za susimaimizi shambani anataka mwanzoni tu akiajiriwa apate kazi ya ofisini kwenye kiyoyozi.
Mkuu habari hiyo Kazi ya mashambani bado ipo tafadhali nahitaji
 
Akili nyingine nenda stand ya daladala karibu yako, ulizia dei waka ya ukonda wa daladala, makonda wengi wanachoka hvo huwa wanapokezana kuamka saa 10 kulala saa nne sio kaz ndogo, hukosi kaz ya ukonda wa daladala uwe mwaminifu na ujue vituo vya route unayoomba kaz
Hii sio rahsi kama ulivyoongea mkuu
 
Au nenda mjini pale posta kuna parking kubwa ya magari, inaangaliana na wizara ya mambo ya ndani, waone jamaa pale waambie mi muosha magari jitambulishe vzuri, ukielewana nao wahi mapema siku inayofuata anza kazi. Kuosha gari moja 3,000 zinapaki gari zaid ya 50 huwez kosa gari 5 mpaka 10 za kuosha kila siku. Walionza pale saiv wengi wameajiriwa na posta kukusanya mapato sijaona muosha magari mpya hivi karibuni wahi mapema pale
Hii nzuri sana mama itafunction
 
Back
Top Bottom