Tobaaaaaaaaaah, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2207254
HUYU KIJANA NI OMBA OMBA SANA MPAKA KWENYE KUBETI KULE ANAOMBA SANA HELA.
NA ANA URAIBU NA KAMARI. KUWENI.MAKINI SANA
View attachment 2207255
Hela zake anazielekeza huku. Kuweni makini sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daaah vijana akili mbovu kweli ninyiNipo Nala leta hiyo laki na nusu uishi kwangu Nina chimba kipo free kina Kila kitu. Joo uishi usianze kusumbua watu humu...nitafute pm nikuelekeze nilipo uje unione
Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
Amenishtua mnooo yaan, huyu JF kajiunga akiwa primary? Maan mwaka huo walio chuo wengi hasa Degree sahiv, walikua std 7. hebu atueleze vizuri.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa hiyo kesho ungepata wapiNi malimbikizo ya tangu mwezi wa pili, kwa mwez nalipa 40000
Kuna wazazi wengine hata hilo shamba la kuuza hawana. Yaani hawana chochote cha kuuza. Kuna watu wanaweza kukaa miezi bila kula nyama na siyo kwamba ni ma-baniani, la hasha. Hawana uwezo wa kuipata. Hii dunia ni kubwa na tunatofautiana. Nilipokuwa mdogo kwenye miaka 18 hivi hakuna watu niliokuwa nawakejeli kama ombaomba. Baada ya kukua na kupata busara nimekuwa najilaumu kweli nikijiona nililikuwa mjinga.Mungu akubariki sana, maisha ni safari ukikuwa utaijuwa dunia.
Kwa kujibu hoja zako ambazo utaona zitakuondolea shaka kama si utapeli
Aisee, Pole kwa masaibu yaliyokupata. Nakushauri hivi:Habar wa wakuu, heri ya mei mosi.
Mi nimekuja hapa kuomba msaada wenu , ninaashida ya shs 100,000/= , nikiasi cha pesa kilicho pungua kwenye kodi ya chumba nacho kaa, maana leo mwenye nyumba kajakutaka kutoa vitu vyangu , nikamwomba anivumilie mpaka kesho asubuh ili nimtafutie pesa yake
Ni mwanafunz wa chuo cha afya hapa Dodoma, nimejaribu kupambania kupata hela ya kulipa kodi nimepata nusu ya deni ninakiasi cha tshs 150000, bado hiyo laki moja,
Kwa upande wa mzazi kwa sasa siwezi mtegemea maana ameyumba kiuchumi, hata kumwelezea shida zangu naona ni kumwongezea mawazo tu, naomben msaada wenu tafadhali
Natumain hapa JF naweza pata msaada, natanguliza shukran zangu za dhati kwenu
Kwa chochote kile mawasiliano
0655680282
Huwezi jua nini kimejiri kwa wazazi wake,maisha hayana mwenyewe.Hutakiwi kumuonea huruma mzazi wako. Maana hili ni jukumu lake kukusomesha na kukulea mpaka pale utakapo jitegemea!
Wewe muongezee tu mawazo ili akili imkae sawa.
Ifikie wakati tuishi maisha kama ya Wazungu. Haya masuala ya kufyatua tu, halafu watoto wanakuja kuteseka na kusumbua watu wengine hayana tija hata kidogo.
Samahani sana mtoto/mdogo wangu 🙏 kama nitakukwaza kwa haya maneno yangu.
Bora hata Mzee wa kufukua makaburi umekuja kutusaidia. Maana sisi wengine tumejaribu kujenga hoja humu, lakini tumeishia tu kutukanwa na watu wanao jiona wana akili nyingi vichwani mwao, kumbe ni mapoyoyo tu.View attachment 2207254
HUYU KIJANA NI OMBA OMBA SANA MPAKA KWENYE KUBETI KULE ANAOMBA SANA HELA.
NA ANA URAIBU NA KAMARI. KUWENI.MAKINI SANA
View attachment 2207255
Hela zake anazielekeza huku. Kuweni makini sana
Atapata TuDom atapata kweli?
Sio rahis laknAtapata Tu
Sijafunga inbox yangu, wewe tuma namba mimi nitaongea naye, nitampa gurentee ya kulipwa pesa yake, lakini hakikisha maelezo yako ni kweli tupu ili usaidiwe na uache michezo ya kamari.Inbox yako imefungwa
View attachment 2207254
HUYU KIJANA NI OMBA OMBA SANA MPAKA KWENYE KUBETI KULE ANAOMBA SANA HELA.
NA ANA URAIBU NA KAMARI. KUWENI.MAKINI SANA
View attachment 2207255
Hela zake anazielekeza huku. Kuweni makini sana
Weka kitambulisho na mkataba wa nyumba uliyopanga tukuchangie bukubuku watu mia ni laki moja. Utaipata fasta.Kwa kujibu hoja zako ambazo utaona zitakuondolea shaka kama si utapeli
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ruge alisema ogopa sana Mungu na teknolojia Daah aisee
Asichangiwe hata sh mojaSiyo 150000 , Yeye tayari ana hiyo bado 100000 maana Ake anadaiwa Kodi ya sh 250000
Wengine humu tunasimama kama wazazi kuwapa miongozo hawa watoto, bado wapo kwenye foolish age kukosea kupo ni sehemu ya kujifunza.Bora hata Mzee wa kufukua makaburi umekuja kutusaidia. Maana sisi wengine tumejaribu kujenga hoja humu, lakini tumeishia tu kutukanwa na watu wanao jiona wana akili nyingi vichwani mwao, kumbe ni mapoyoyo tu.