Naomba msaada wa kuanzisha mradi huu

Naomba msaada wa kuanzisha mradi huu

Ukweli ni upi juu ya kuoa mtoto wa shangazi/baba mdogo..... - JamiiForums

Dada manengelo huyu sio wa kuaminika, sasa kiziwi ame mla mtoto wa shangazi?

Alafu ana id nyingine/ tembelea uzi wake wa kwanza, Angalia comment zake kwenye nyuzi nyingine! Angalia comments za Rebecca kwenye huo uzi!.Hii id kafungua special (scam)

Mungu anisamehe kama sipo sawa

Sent using Jamii Forums mobile app
Sijaelewa bado....

Kwa hiyo kuwa kwake kiziwi kunamfanya pump isiinuke au umemaanisha nini?hiyo post yake uliyoi-copy mbona haionyeshi ubaya wowote?

Nikae kimya,usije kusema amekuja na Id nyengine ila acha unyanyapaa huyu unayemdharau hapa mkeo anaweza akamuona akamtamani na humu wengi sana huwa wanaandika mambo ya uwongo uwongo hata wewe siyo yote unayoandika humu yana ukweli!

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
Mkuu soma post zote emb nawewe fatilia unipe mrejesho

Na mm ndo nilichokuwa nawaza kama ww..
 
Mkuu soma post zote emb nawewe fatilia unipe mrejesho

Sent using Jamii Forums mobile app
kimsingi kaka ulistahili kuniu
Eti "Astaqhfirullah" na yuko kanisani
Kwa kweli kuna watu huwa wanaumbuka sana humu kwa comments zao au michango yao ya zamani
Kweli napenda kusaidia hata kidogo nilichonacho ku share na wenzangu ila bora nitume kwa njia zingine ziwafikie walengwa kwa kweli

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Ndugu mimi ndiye ninayeomba msaada,je! If ni kiziwi hayo matukio hayatakiwi kunikuta auni ya ajabu sana kwavile yametendwa na kiziwi? Na je! Ombi langu la kusaidiwa na tukio hilo vina uhusiano gani katika kuaminisha kuwa mimi simuaminifu?
 
Nilitaka nimsaidie ila nilifukua kwanza makaburi, sikuizi mjini.ujanja mwingi sana

Sent using Jamii Forums mobile app
kaka kiukweli ulipaswa kuniunga mkono sana mdogo wako hukupaswa kunilet down kiasi hicho nachoweza kukujibu ni kuwa:

-id hii ni ya kwanza kwangu hapa jamiiforum sijawahi kuwa na id nyingine yoyote na si mwenyeji sana wa hapa jf napenda kuchangia mada yoyote nayoona inanifurahisha.

-sijafungua id hii kama mwenyeji wa hapa na hata sina ufahamu wa mambo mengi sana hapa jf mfano kun mtu alitoa threar inayomuomba radhi manengelo something kinachosemekana kimetokea JUKWAA LA WAKUBWA,hili jukwaa hata sijui ndio jukwaa ganina linapatikana wapi,

Kusema kuwa nimefungua id maalum kwa lengo ovu,hapana haupo sahihi kaka kwa sababuunasema nina id zingine ingefaa ulete hizo id hapa,na kwa kuwa haupo sure thats why unasema tu ana id nyingine na sababu za kuwa na hisia za kwamba nina id nyingine ni,coment yangu ya kwanza katika post inayohusu kumlala mtoto wa shangazi,nakumbuka nilicoment hivi "wale tuliokula watoto wa shangaz tujuane" ukiendelea kuisoma replies utakita tukio hilo lilitokea nkiwa form2 mtoto mdogo kabisa na naapologize because ulikuwa ni utoto sasa je ikiwa ni kiziwi sina hisia zingine za mwili a sistahili kutenda mistakes kama hizo kwa sababu ni kiziw, lakini pia je tukio hili na coment hii vinaniekaje kwenye kundi la wasio waaminifu?

Pia kuna tukio la kanisani hilo nalo umelihighlight je! Hil nalo lina kipi cha kunifanya niwe si muaminifu mwenye id nyingi?

Lakini unadhani nitakua juhakiasi gani kufungua id maalum na kisha nisifiche hayo unayofikiri si sahihi?

Pia umesema lengo la knisaidia ila umefukua makaburi nmwisho umehitimisha kwa hisia na sio ushahidi wa yale unayoyahisi wewe.

Lakimi bro,uzi huu nimeomba msaada na uzi huu ni muhimu sana kwangu kama vile ulivyo na kazi inayoendesha masha yako mwenzio sina kaz na nimeongelea kwa ufupi changamoto zinzopelekea kuachana na kuhangaika na kutafuta kazi nikaomba mtaji hapa so thread hi inabeba mustakabali wa harkati za maisha ya mwenzio,bro maamuzi yako yanaweza kusababisha wengine maumivu ya nafsi,kilio na kukata tamaa hatimaye maisha ya mtu yakawa total waste.

Huwezi jua ni kiasi gani iwapo nitfanikiwa kuanza hiyo biashara huenda ndio ikawa njia ya mafanikio yangu.

Bro naapa kwa Mungu wetu kuwa kila nilichoongea ni KWELI hivyo futa hisia mbaya juu yangu na be a part of my life bro t the time ukinifahamu kwa undani unaweza notify kuwa i need help na ushirikiano pia
 
kimsingi kaka ulistahili kuniu

Ndugu mimi ndiye ninayeomba msaada,je! If ni kiziwi hayo matukio hayatakiwi kunikuta auni ya ajabu sana kwavile yametendwa na kiziwi? Na je! Ombi langu la kusaidiwa na tukio hilo vina uhusiano gani katika kuaminisha kuwa mimi simuaminifu?
Ukiziwi hauhusiani na comment zako kabisa, usitafute sympathy kwa tatizo la masikio yako
Mimi nimeongea niliyoyasoma tu
Pole kama nimekuumiza kwa namna yeyote ile

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Asante sana kwa ushauri mzuri wenye busara,smu hii ni tecno h5 nilipewa na dada mwka 2013 ni chakavu sana na inayosumbua vigumu kuiuza hata kwa sh 20000 hakika ningefuata shauri lako ndugu
pole mpauko,VP! Familia mnajihusisha na shughuli gani je huo mradi ,utaufanya na watu gani?
 
nakushauri fatilia barua ya kutambuliwa na uongozi wa kijiji,ili kupata udhamini wa uhakika kusema unahitaji msaada hata kama ni mdogo lazma utambulike pengine waweza pata ufadhili wa kutibiwa na ukasikia tena,,ALAH akutie nguvu na ujasiri upige hatua
 
pole mpauko,VP! Familia mnajihusisha na shughuli gani je huo mradi ,utaufanya na watu gani?
Asante sana kaka,familia ilikua ya mtegemezi mmoja ambaye ni baba,wakti nikiwa chuomwaka 2017,alifukuzwa kazi bila malipo na bahati mbya hakuwa na kitgauchumi kingine hadi sasa kutokana na umri wazazi hawa hawajabahtika kpata kazi yakujikimu hivyo hawana shughuli ya kufanya kwa sasa kutokana na changmoto ya kifedha.

Biashara hii nimepanga kushirikiana na familia yangu naamini wataniunga mkono na kunisaidia pale nitakapohitaji msaada wao.
 
nakushauri fatilia barua ya kutambuliwa na uongozi wa kijiji,ili kupata udhamini wa uhakika kusema unahitaji msaada hata kama ni mdogo lazma utambulike pengine waweza pata ufadhili wa kutibiwa na ukasikia tena,,ALAH akutie nguvu na ujasiri upige hatua
Asante kaka hebu naomba unielimishe hapa,barua ya serikali ya mtaa(sipo kijijini) inaweza kunisaidia vipi kupata ufadhili?

Kuhusu matibabu tangu 2004 nilipopata hii changamoto nilihangaika sana si hospitali si kanisani at the end dokta alinielimisha kuhusu taizo hili na vile navyoweza kuishi nalo s nilikubali matokeo napambana na maisha niliambiwa halitibiki (mishipa imekufa)
 
Mwingine huyu. Naona nyuzi za kuomba misaada zinazidi kushamiri jf.
Naona pia na id ni zilezile zinazosupport hii kitu. Kuna id naziona uzi kama wa 5 huu zinajrudia zikisupport na kuhamasisha hii kitu.
I smell something fishy going on!
Anyway bado naendelea kufatilia

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
broh hakuna kinachoshindikana chini ya jua,barua ya uongozi wa mtaa/kijiji ni sawa,Mungu hashindwi usimwekee mipaka
 
M
broh hakuna kinachoshindikana chini ya jua,barua ya uongozi wa mtaa/kijiji ni sawa,Mungu hashindwi usimwekee mipaka
Mkuu barua hi ipo vipi? Na taratibu zake?
 
Mkuu maisha hayajawai kuwa raisi kama unavyofikiri. Maisha ni kama vita ukizubaa tu unapotea. Umesema unataka usaidiwe pesa ya mtaji embu acha masiara mzee mbona unatafta mtaji kwa njia rahisi ivyo?? Umeshindwa kwenda hata kwenye site za ujenzi upige saidia fundi ukijichanga mtaji wako polepole??? Tatizo la watanzania wengi tuna kasumba ya kutaka kusaidiwa kwenye kila jambo . Toa io ideology kichwani mwako kabisa. Hivi unajua kuna watu humu hawana pesa ya kula, wagonjwa nk ila wanakomaa kiume?? Wewe ni kijana wa kiume na bado mdogo embu piga kazi acha kulialia na kulilia huruma za watz.

Huu ushauri nimekupa incase wewe sio tapeli coz kuna network kubwa ya matapeli ipo jf wanaleta nyuzi za misaada huku wakisapotiana kila siku. Bado nafatilia

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mwingine huyu. Naona nyuzi za kuomba misaada zinazidi kushamiri jf.
Naona pia na id ni zilezile zinazosupport hii kitu. Kuna id naziona uzi kama wa 5 huu zinajrudia zikisupport na kuhamasisha hii kitu.
I smell something fishy going on!
Anyway bado naendelea kufatilia

Sent from my iPhone using JamiiForums
Tutoke jamiiforum tujuane nje ya hapa kama wpo walioomba msaada kama ilivyo kwangu tusisite kusaidia pale panapokwa na ukweili na tukemee pale palipo na udanganyifu.
 
Back
Top Bottom