wewe elimu haijakukomboa kabisaa
bado ujinga umekuganda haujakwachia
poor mind, poor lifestyle, poor future.
ulienda kujiendeleza kusudi upewe barua ya kutambua ulemavu wako? very shameee.......ni aibu.
fanya vitu venye afya Sio kujishushaa unatia hasira sana na ukiziwi wako unapaswa kutandikwa viboko 24 kwa kuzalilisha waalimu na chuo ulichosomea.
Badala ya kuwaza kwenda kwa ofisi ya mkuu wa mkoa, mkuu wa wilaya, mkurugenzi, na afisa maendeleo ya Jamii na Business plan yako uwaombe mkopo ama wakuelekeze na kukudhamini sehemu inayotoa mikopo wa kuanzia laki 5 mpaka milion 1 pia uandike kitu chenye ubunifu na namna bora ya kufanya hio biadhara ya vitafunwa tofauti na wenzako....。。。。。。。。 wewe unataka kwenda kutambuliwa Kama mlemavu....mjinga kabisa.......badala ya kupambana na kuonyesha kuwa disability not inability........... ynahitajika upate mateso na shida zaidi kusudi utumie maarifa uliyofundishwaa..... unapaswa kujitoa na kujikataa mpaka Jamii ikuone na kukutambua kwa juhudi zako Sio kujiweka katika kundi la watu wasiojiweza wanaosubiria malaika mtoa roho.....wewe ni mshindi ni tegemeo pambana usitake msaada tumia akili shule Hiyo unayojitolea kwa sasa ni mtaji tosha anza kupeleka maandazi wanafunzi anakusaidia kuuza mle mda wa mapumziko pia unaweza kuchukua ata tenda ya kutengeneza vitafunwa vya waalimu.
tafuta mama ntilie piga nae kazi onyesha ubunifu ndani ya mwezi Mambo yatasonga....huna familia unahitaji pesa ya kula kwanza mengine yanafuata,....kama kitu hakina msaada kwako usinganganie achaaa mara moja....tatizo kubwa ulilonalo ni kwamba hutumii akili yako? ukiendeleea na tabia ya kuwa ombaomba lazima ufe na ndoto zako
Sent using
Jamii Forums mobile app