Asante mkuu you are genious,mwaka niliopata hili tatizo huwa nauchanganya coz ni miaka mingi imepita due to circumstance katika matibabu hadi pale nilipozoea hali hii na kuikubali ni kuanzia mwaka 2003-2006 katika kipindi hiko ndipo nilipokuwa nazunguka kutafuta matibabu hapa nchni,kuanzia mwaka 2007 na kuendelea nilikuwa nimeshaacept na kukubaliana na hali halisi na kuchanganya miaka hiyo yaweza kuwa ni uzembe wangu kwa kutotilia maanani umuhimu wa taarifa hzi akili yote ipo kwenye pointi nayotaka kuisema tu.View attachment 1053363
Hapo ni masaa tisa yamepita, umeandika kwamba kwasasa umejitolea kwenye shule moja huko Mtwara.
View attachment 1053367
Hapo ni siku mbili zilizo pita, umeandika kwamba kwenye kutafuta vibarua umekosa hata pale ulipo omba kujitolea.
View attachment 1053368
Hapo juu, umeandika kwamba ulipata tatizo la kutokusikia mwaka 2003 ukiwa darasa la pili.View attachment 1053369
Hapo juu, ukabadilisha kwamba ulipata tatizo la masikio mwaka 2004 ulipokua darasa la tatu.
Samahani mkuu, hapa nimeamua kusoma kwa umakini tu ili kuweka kumbukumbu sawa.
Sawa, pole sana mkuu.Asante mkuu you are genious,mwaka niliopata hili tatizo huwa nauchanganya coz ni miaka mingi imepita due to circumstance katika matibabu hadi pale nilipozoea hali hii na kuikubali ni kuanzia mwaka 2003-2006 katika kipindi hiko ndipo nilipokuwa nazunguka kutafuta matibabu hapa nchni,kuanzia mwaka 2007 na kuendelea nilikuwa nimeshaacept na kukubaliana na hali halisi na kuchanganya miaka hiyo yaweza kuwa ni uzembe wangu kwa kutotilia maanani umuhimu wa taarifa hzi akili yote ipo kwenye pointi nayotaka kuisema tu.
Hapo nilipoandika kuwa hawataki nimeinclude shule binafsi nlizoomba volunteer na maeneo mengine yenye credit na fursa
Sijaiclude shule nayojitolea kwa sasa kwa sababu ni ya serikali na hakuna shule ya serikali inayokukatalia kujitolea na hawakufuatilii wala kukutambua yaan upoupo tu hata mia ya andazi hamna nayo nafanya kama kujikeep busy tu huku naendelea kuangaza huku na huko.
Kwanza nitangulize shukrani mkuu umenifumbua macho katika hili ubarikiwe sana.Sawa, pole sana mkuu.
Basi nakushauri upate barua ya kutambuliwa kama mlemavu wa masikio, na hii itatutoa mashaka sisi matomaso.
Kisha ambatanisha na kitambulisho chako chochote, na baada ya hapo.... weka namba yako ya simu hapa na hakikisha imesajiliwa kwa majina ambayo yatakua yame ahinishwa kwenye barua ya utambulisho pamoja na kitambulisho.
Ukifanikiwa kuyafanya hayo, hata nami nitakua nimejiridhisha na nitakutumia kiasi ili ikusaidie.
Asante na samahani kama pengine nitakua sija kufurahisha kwa mchango wangu wa maoni.
Asante na karibuKwanza nitangulize shukrani mkuu umenifumbua macho katika hili ubarikiwe sana.
Niliwahi kuwasiliana na wewe kwa ishu fulani,mara nyingi nilikuwa nasisitiza tutumie sms zaidi,nahisi hukujua kwanini,huenda ulijua tapeli,noo,.. Nina tatizo kama hili mkuu,but huwa sipendi kumwambia mtu ,huwa sijisikii vizuri,niko wilunze kwa ishu fulani,nikija dom mjini ningependa tuonane mkuu ushimen.Asante na karibu
Nimekumbuka mkuu...Niliwahi kuwasiliana na wewe kwa ishu fulani,mara nyingi nilikuwa nasisitiza tutumie sms zaidi,nahisi hukujua kwanini,huenda ulijua tapeli,noo,.. Nina tatizo kama hili mkuu,but huwa sipendi kumwambia mtu ,huwa sijisikii vizuri,niko wilunze kwa ishu fulani,nikija dom mjini ningependa tuonane mkuu ushimen.
Nashukuru mkuu!Nimekumbuka mkuu...
Those days ulikua unanikasirisha sana mkuu, na hasa pale nilikua nikikupigia alafu unakata.
Na skumoja nilikua na mteja, na kisha nikakupigia tukiwa pamoja. Na ulipo kata hakika nilipata moto sana na nikakuweka kwenye kundi la watu wasio serious.
Naomba nikupe pole sana mkuu, na naomba unisamehe kwasababu sikujua kama ipo shida.
Ukweli ni upi juu ya kuoa mtoto wa shangazi/baba mdogo..... - JamiiForums
Dada manengelo huyu sio wa kuaminika, sasa kiziwi ame mla mtoto wa shangazi?
Alafu ana id nyingine/ tembelea uzi wake wa kwanza, Angalia comment zake kwenye nyuzi nyingine! Angalia comments za Rebecca kwenye huo uzi!.Hii id kafungua special (scam)
Mungu anisamehe kama sipo sawa
Sent using Jamii Forums mobile app
mmh uzi huu nimeupost hadi katika account yangu ya facebook,kuna mdau haa nadhan alikuwa na mashaka he promissed me kwa if nitapost katika wall yangu atanisaidia because im serious and im really in need nimepost fb,but kwanini sikupost favebook? Ni kwa sababu kule una marafii wengi na mnaheshimiana,then si vizuri kuweka maisha yako open kwa kila mtu facebook kuna watu wengi sana from ulosoma nao na marafiki tuliofahamiana ukubwani,achana na wanajamii wengine wanaokuheshimu imagine ni kitu kigmu kiasi gani kuweka uzi huu facebookNawaza huu uzi angeandika jinsia ya kike..mpaka sasa angekuwa ashapata laki 6 hvi๐โ
mmh uzi huu nimeupost hadi katika account yangu ya facebook,kuna mdau haa nadhan alikuwa na mashaka he promissed me kwa if nitapost katika wall yangu atanisaidia because im serious and im really in need nimepost fb,but kwanini sikupost favebook? Ni kwa sababu kule una marafii wengi na mnaheshimiana,then si vizuri kuweka maisha yako open kwa kila mtu facebook kuna watu wengi sana from ulosoma nao na marafiki tuliofahamiana ukubwani,achana na wanajamii wengine wanaokuheshimu imagine ni kitu kigmu kiasi gani kuweka uzi huu facebook
But i decided to do as he wished to show my real will nilipost nikiamini atatimiza ahadi ya kunisaidia na si kuombamarafii wa fb kwa sababu wengi ni wale wa rika lako ni vigumu kukusaidia
Lakin baada ya kutimiza sharti hili hajibu jumbe kaondoka mazima,my sister kanifuata huku analia kasema my bro in law ni kweli sisihatuna uwezo wa kukusaidia ila kitndo cha kupost kule kimewadhalilisha mno ndugu na family yangu,kamuonesha my mom se cried too,my fadher akaingia room sijui alienda kufanya nn but walikuwa na uchungu mwingi,nafahamu kamathat person angetimiza ahadi yake ningewaonesha i hope wangefurahi too!
Kitendo hiki kinanifanya nifeel bad sana nimelost heshima nimejivua nguo mbel ya jamii i hope tha person amefurahi sana for doing this
Baada ya kueka uzi huu hapa hadi sasa hivi sijaungwa mkono na yeyote hata huko fb watu haa kulike na kucoment ni kwa machale s naufuta huu uzi fb nakosa amani sana kuona hata yule binti niliempenda sana amesoma na akalike hata wale vilaza darasani wamesoma kila anaenifahamu! Hii inaniweka kwenye stress kla dk
Binafsi naweza kusema najiamini kwa kiasi chake,tatizo ni privacy dada japo kidogo mtu unahitaji utunze privacy zako jamani.Hujiamini pia...anywys kuna mdau alikuomba uweke hapa namba zako..hujaweka...!
Aisee...!! Kweli una shida aisee..nimesikitika sana.mmh uzi huu nimeupost hadi katika account yangu ya facebook,kuna mdau haa nadhan alikuwa na mashaka he promissed me kwa if nitapost katika wall yangu atanisaidia because im serious and im really in need nimepost fb,but kwanini sikupost favebook? Ni kwa sababu kule una marafii wengi na mnaheshimiana,then si vizuri kuweka maisha yako open kwa kila mtu facebook kuna watu wengi sana from ulosoma nao na marafiki tuliofahamiana ukubwani,achana na wanajamii wengine wanaokuheshimu imagine ni kitu kigmu kiasi gani kuweka uzi huu facebook
But i decided to do as he wished to show my real will nilipost nikiamini atatimiza ahadi ya kunisaidia na si kuombamarafii wa fb kwa sababu wengi ni wale wa rika lako ni vigumu kukusaidia
Lakin baada ya kutimiza sharti hili hajibu jumbe kaondoka mazima,my sister kanifuata huku analia kasema my bro in law ni kweli sisihatuna uwezo wa kukusaidia ila kitndo cha kupost kule kimewadhalilisha mno ndugu na family yangu,kamuonesha my mom se cried too,my fadher akaingia room sijui alienda kufanya nn but walikuwa na uchungu mwingi,nafahamu kamathat person angetimiza ahadi yake ningewaonesha i hope wangefurahi too!
Kitendo hiki kinanifanya nifeel bad sana nimelost heshima nimejivua nguo mbel ya jamii i hope tha person amefurahi sana for doing this
Baada ya kueka uzi huu hapa hadi sasa hivi sijaungwa mkono na yeyote hata huko fb watu haa kulike na kucoment ni kwa machale s naufuta huu uzi fb nakosa amani sana kuona hata yule binti niliempenda sana amesoma na akalike hata wale vilaza darasani wamesoma kila anaenifahamu! Hii inaniweka kwenye stress kla dk
umemchana mkeka wa watu๐๐๐Ukweli ni upi juu ya kuoa mtoto wa shangazi/baba mdogo..... - JamiiForums
Dada manengelo huyu sio wa kuaminika, sasa kiziwi ame mla mtoto wa shangazi?
Alafu ana id nyingine/ tembelea uzi wake wa kwanza, Angalia comment zake kwenye nyuzi nyingine! Angalia comments za Rebecca kwenye huo uzi!.Hii id kafungua special (scam)
Mungu anisamehe kama sipo sawa
Sent using Jamii Forums mobile app
Jifanyie kitu kinaitwa SWOT ambapo utatambua uwezo,mapungufu yako,fursa na matishio mbalimbali yanayokukabili.Habarini ndugu zangu!
Nichukue nafasi hii kutoa dukuduku langu.
Mimi ni kijana wa kiume umri wangu ni miaka 24 sasa, naishi Mtwara mjini na ni Kiziwi(si wa kuzaliwa nilipata tatizo hli mwaka 2004 nikiwa darasa la tatu). Elimu yangu ni mhitimu wa ualimu grade A, 2018.
Kwa sasa najitolea kufundisha shule moja ya serikali hapa Mtwara For free. Ninaomba watanzania wenzangu kwa yeyote aliye na uwezo wa kunisaidia mnisaidie mtaji ili niweze kujiajiri.
Wazo langu ni ujasiriamali wa kuandaa vitafunwa na kuviuza mashuleni na wakati wa jioni kuviuza maeneo yenye mkusanyiko wa watu kama vile stendi pia kununua vifaa vya kufukuza mbu ambavyo hutumia umeme na viko mfano wa chaja ya kobe kwa vile huku ni nyumbani kwa mbu naamini nitapata wanunuzi.
Bajeti yangu katika mradi huu tshs100,000 naamini itatosha kunifungulia milango katika ujasiriamali huu.
SABABU ZA KULAZIMIKA KUOMBA MSAADA KWA WANAJAMII WENZANGU
Hali duni ya familia, haina uwezo wa kumudu milo mitatu kamilifu hivyo kusema ya kwamba haina uwezo wa kuniwezesha kuwa self employed
Ukosefu wa ajira na mtazamo wa jamii kuhusu wenye usikivu hafifu. Jamii haina imani kukabidhi kazi zao kwa kundi hili. Mwitiko hasi wa waajiri na mazoea ya wanajamii kwa kutowatilia maanani wasiosikia na mambo kadha wa kadha yamenifanya kushindwa kupata kibarua tangu nilipohitimu hadi leo sina kibarua kinachoniwezesha kutoa mchango kwa famiia yangu (ukizingatia umri wa miaka 24 huna cha kudai kwa wazazi tena badala yake wazazi ndio hukutazama wewe)
Malengo na hamasa, bila shaka kila mtu ana malengo na hamasa katika kufanikisha ndoto zake, kila mtu anapenda kufanya kazi na kufurahia matunda ya juhudi zake. Nakosa raha na amani sana kuona ya kuwa sina shughuli ya kufanya wala majukumu kulingana na rika langu.
Hitaji la kubadilisha mtazamo wa jamii.
Kwa kawaida jamii hutuchukulia kama watu dhaifu aghalabu kuona ikichukulia kama watu wasio na akili timamu. Binafsi ndugu wenye uwezo huniambia niende kijijini kumsaidia bibi kulima na kuchunga mifugo, they forget that nimekwishapita rika hilo napaswa kuweka mwelekeo wa maisha yangu sasa hizi ni dharau inaumiza sana!
Naamini kutoa ni moyo na sio kila atoaye ni tajiri, bali ni moyo, upendo na sense of humanity.
Naamini katika uzi huu hautowafurahisha wote hivyo niwaombe radhi wote watakaokwazwa na uzi huu.
Namba yangu ya Zantel ni 0776-741-545 jina EVARISTO MIHO(siyo jina langu natumia laini niliyopewa na mzazi yangu kutokana na kusubiri kitambulisho cha kura)
Asanteni.