Asante kwa ushauri mzuri,Mimi nipo kitengo cha viziwi mkuu wanafunzi wangu ni viziwi pia.Jifanyie kitu kinaitwa SWOT ambapo utatambua uwezo,mapungufu yako,fursa na matishio mbalimbali yanayokukabili.
Kwa haraka ni kuwa wewe ni mhitimu wa ualimu na unafundisha for free (kwa kujitolea) huu ni uwezo mkubwa mno wa kutoa elimu bila kulipwa.
Nakushauri kuwa na tabia njema,jenga jina na anzisha tuition hata kwa shillingi mia moja kwa mtoto mmoja kwa saa moja na nusu.Naamini utakuwa huna haja ya kuomba msaada tena.Jaribu kisha nijulishe.
wewe elimu haijakukomboa kabisaaKwanza nitangulize shukrani mkuu umenifumbua macho katika hili ubarikiwe sana.
Umemshaur vyema piaP
Pole sana Mkuu kwa hayo ningeweza kukushauri kwamba uuze simu uliyo nayo kwa kiasi hichohicho cha laki moja (maadam ni simu yenye uwezo wakuingia mpaka JF naamini thamani yake itakuwa sio chini ya lakimoja).
Ukishampata mteja iyo pesa utakayo ipata iingize kama mtaji naamini utaanya kazi kwaufanisi na weredi zaidi na naamini utapata simu nyengine nzuri zaidi.
Exactly good advice to this mpauko who need sympathyMkuu maisha hayajawai kuwa raisi kama unavyofikiri. Maisha ni kama vita ukizubaa tu unapotea. Umesema unataka usaidiwe pesa ya mtaji embu acha masiara mzee mbona unatafta mtaji kwa njia rahisi ivyo?? Umeshindwa kwenda hata kwenye site za ujenzi upige saidia fundi ukijichanga mtaji wako polepole??? Tatizo la watanzania wengi tuna kasumba ya kutaka kusaidiwa kwenye kila jambo . Toa io ideology kichwani mwako kabisa. Hivi unajua kuna watu humu hawana pesa ya kula, wagonjwa nk ila wanakomaa kiume?? Wewe ni kijana wa kiume na bado mdogo embu piga kazi acha kulialia na kulilia huruma za watz.
Huu ushauri nimekupa incase wewe sio tapeli coz kuna network kubwa ya matapeli ipo jf wanaleta nyuzi za misaada huku wakisapotiana kila siku. Bado nafatilia
Sent from my iPhone using JamiiForums
Asante sana kuna vitu vya kuzingatia pia katika ujumbe wako!wewe elimu haijakukomboa kabisaa
bado ujinga umekuganda haujakwachia
poor mind, poor lifestyle, poor future.
ulienda kujiendeleza kusudi upewe barua ya kutambua ulemavu wako? very shameee.......ni aibu.
fanya vitu venye afya Sio kujishushaa unatia hasira sana na ukiziwi wako unapaswa kutandikwa viboko 24 kwa kuzalilisha waalimu na chuo ulichosomea.
Badala ya kuwaza kwenda kwa ofisi ya mkuu wa mkoa, mkuu wa wilaya, mkurugenzi, na afisa maendeleo ya Jamii na Business plan yako uwaombe mkopo ama wakuelekeze na kukudhamini sehemu inayotoa mikopo wa kuanzia laki 5 mpaka milion 1 pia uandike kitu chenye ubunifu na namna bora ya kufanya hio biadhara ya vitafunwa tofauti na wenzako....。。。。。。。。 wewe unataka kwenda kutambuliwa Kama mlemavu....mjinga kabisa.......badala ya kupambana na kuonyesha kuwa disability not inability........... ynahitajika upate mateso na shida zaidi kusudi utumie maarifa uliyofundishwaa..... unapaswa kujitoa na kujikataa mpaka Jamii ikuone na kukutambua kwa juhudi zako Sio kujiweka katika kundi la watu wasiojiweza wanaosubiria malaika mtoa roho.....wewe ni mshindi ni tegemeo pambana usitake msaada tumia akili shule Hiyo unayojitolea kwa sasa ni mtaji tosha anza kupeleka maandazi wanafunzi anakusaidia kuuza mle mda wa mapumziko pia unaweza kuchukua ata tenda ya kutengeneza vitafunwa vya waalimu.
tafuta mama ntilie piga nae kazi onyesha ubunifu ndani ya mwezi Mambo yatasonga....huna familia unahitaji pesa ya kula kwanza mengine yanafuata,....kama kitu hakina msaada kwako usinganganie achaaa mara moja....tatizo kubwa ulilonalo ni kwamba hutumii akili yako? ukiendeleea na tabia ya kuwa ombaomba lazima ufe na ndoto zako
Sent using Jamii Forums mobile app
ni jina la mhusika katika riwaya nilivutiwa na uhusika wake aliitwaHalafu kwa nini ujiite mpauko??? Hujui maneno yana umba? Utapauka kweli shaur yako
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah kweli maisha ni vita aisee tena vita haswaMkuu naona bado hujanielewa.
Nimekushauri vitu viwili cha kwanza nimekwambia itoe io kasumba ya kuomba msaada kwa kila jambo kichwani mwako ni mbaya mno na itaendelea kukutafuna masisha yako yote.
Inavyoonekana wewe ni mtu wa kulaumu sana jamii inayokuzunguka pasipo kujua matokeo makuu kwenye maisha yetu ni results za matendo yetu wenyewe. Bado hujabadilika kwenye ilo wacha kupenda kutegemea misaada kutoka kwa watu utakuja angukia pua maisha ni vita inakupasa kupambana.
Nimekupa mfano wa saidia fundi naona bado unalalamika mno unataka sijui mpaka upewe kazi kabisa acha uo ujinga kwenye bongo wako unapotea, nimekupa huo mfano kwa sababu nipo kwenye sector ya ujenzi site byingi ukiwai asubui na mapema ukipanga foleni hakuna atakaekuzuia usipangiwe kazi na jion kupokea ujira wako hata kama unekuja mpya tatizo lako naona wewe ni mbishi na unadirect kilakitu upewe tu msaada.
Kitu cha pili nimekushsuri uache kutafta huruma kutoka kwa watu kwa uo ulemavu wako naona bado hujanielewa. Unautumia uo ulemavu wako ili kiwe chanzo cha wewe kupata misaada kwa watu hio sio sawa tatizo lenu walemavu mmekuwa hamtaki kujishughulisha kwenye mambo kwa asilimia 100 mkiamini katika kuonewa hutuma na watanzania. Io kasumba itoe kichwani mwako naona bado unarudiarudia tu hapa ooh sijui nimetukanwa ooh sijui nimenyimwa iki kisa ni mlemavu nk ili watu humu wakuonee huruma acha kutumia uo ulemavu wako kama sababu ya wewe kupata kitu piga kazi dogo wewe bado kijana mdogo watu wametoka mbali sana pasipo kulialia na kuomba misaada kila mda.
Narudia tena badilika maisha ni kama vita ukiendelea hivi ata leo ukiipata io kilo moja kesho utapata tatizo lingine utakimbilia tena humu kuomba msaada nk nk
Sent from my iPhone using JamiiForums