Hivyo vyote nilishapigia hesabu nachotaka kujua haswa vifaa vya kuimport kutoka nje na ni kampuni gani ambayo ni bora zaidiwe fungua offisi utahost kwenye server za serikali au nje ya nchi unapiga commission yako maana utahitaji generator, fiber internet yenye speed, server zenyewe, operation cost yako itakua juu sana wangine watakua na bei ya chini na huduma bora kuliko wewe
Thanks hata kwa hapa umenifungua jicho na ubongoMkuu unaongelea kitu cha kitaalam, utapewa majibu ya ki theory zaidi ila kupata jibu la kitaalam fanya feasibility study.
Inawezekana kuna cost ambazo zinatokea tu mahali ulipo ambapo sehemu nyengine hazitokei,
Utahitaji pia Ip adress toka TTCL/TCRA, software za kuhost, internet si nguvu tu bali ping muhimu, hizo server storage si za kawaida tu unahitaji yenye I/O ya maana etc.