Naomba msaada wa kunichagulia sofa zuri kati ya izi

Naomba msaada wa kunichagulia sofa zuri kati ya izi

Hii ndio unyama
 

Attachments

  • 20240306_065924.jpg
    20240306_065924.jpg
    39.8 KB · Views: 12
Naomba kunichagulia sofa nzuri nataka kununua,na kama una lako zuri zaidi,naomba utume picha kama nitalipenda nitapeleka order kwa fundi.

Kingine naomba kuuliza kama miguu ya sofa hizi inadumu? Nina wasiwasi na kuharibika miguu yake, yaani iyo miguu ya sofa. Nasoma comments zenu.....

Asante.

View attachment 2926538View attachment 2926539
Japo hapo hamna sofa, ila kama option ni hizo mbili mi nakushauri uchukue namba 2 hilo kubwa manake hayo madogo yake ni design nyingine kabisa. Angalau hapo utapata miguu.
 
😅😅😅Hayo namba mbili na yale ya L kama kuna panya watapata makazi .
Achukue tu namba moja regardless. Hayo ya pili yamekaa ki hotel hotel sana na saloon siku hizi wana design hizo.
Halafu hayo madogo yake nayo yamekaa ki lodge lodge😂😂
 
Achukue tu namba moja regardless. Hayo ya pili yamekaa ki hotel hotel sana na saloon siku hizi wana design hizo.
Halafu hayo madogo yake nayo yamekaa ki lodge lodge😂😂
Na panya wakiwa na makazi haswa haya masofa ,wanazaana kibao utashangaa kila kona ni panya.

Masofa yanatunza joto ,basi wataweka watoto humu ukija kushtua kuna panya wengi.
 
Usitengee mee linavyo onekana kwenye tangazo.ndio litakavyo onekana sebureni kwako.
 
Sina uchaguzi hapo. Kama huna hela ya kutosha nunua sofa plain zenye material iliyonyooka, chukua ngozi ile ngumu achana na materials zinaitwaje sijui hizo za kuteleza. Sio mara sofa lina vishimo, mara lina vimisumari chini, mara stripes rangi ya gold.

Uzuri wa sofa utauona baada ya miaka miwili, hapo unaona urembo low quality usiodumu hata miezi sita especially ukiwa na watoto.
Pendelea kuwa na vitu havivutii sana ila vinaweza maintain ule mvuto wake wa kawaida. Sio unakuwa na kitu shinny for a short period of time alafu shit quality.
Mkuu, umepiga penyewe.
 
Back
Top Bottom