Naomba msaada wa kupata kazi ya upagazi(porters)

Naomba msaada wa kupata kazi ya upagazi(porters)

BLACKLIST 12

Senior Member
Joined
Aug 28, 2022
Posts
128
Reaction score
100
Jinsia: Mwanaume
Umri:21
Elimu: kidato cha 6
Mafunzo: JKT kwa mujibu wa sheria 2022
Fani: Udereva (leseni hai kwa madaraja A A2 D)
Makazi: Arusha

Nilikuwa naomba kwa atakae guswa au mwenye channel yoyote kuhusiana na kazi ya upagazi anisaidie...kwa muda wa huu walikizo za chuo niweze kupata japo pesa za kujazilishia ada na mahitaji mengine.
 
Jaribu kuulizia ofisi zinazohusika na mambo ya mlima, ukienda hapo na kuomba kazi wanakuchukua ka nafasi zipo
 
Unataka kuwa mgumu maana wale wanajiita wagumu
 
Ni kazi ambayo sitakaa nifanye tena katika maisha yangu
 
Mkataba una SEMA PESA UTAKAYO LIPWA NI. 270,000 LAKINI GUIDER ANAKUFOSI USAINI 170,000 , WHERE IS THE HELL DOES 100,000 GOES , KAMA HUTAKI , PITA HIVI .......... DAHHH KAZI YA KITUMWA ILA NDO MAISHA HAYOOOO
 
Kama una matatizo ya kiafya (upumuaji) aseeeeeee. Usijeukagusa huko kwenye hizi KAZI maana utabebwa na maliasili kuja kukuleta huku chini....kama mfu.....
 
Mkataba una SEMA PESA UTAKAYO LIPWA NI. 270,000 LAKINI GUIDER ANAKUFOSI USAINI 170,000 , WHERE IS THE HELL DOES 100,000 GOES , KAMA HUTAKI , PITA HIVI .......... DAHHH KAZI YA KITUMWA ILA NDO MAISHA HAYOOOO
Ila sisi wabongo kiukweli basi tu. Tunachukuliana kama mbwa huwa inaniuma sana unakuta HR anakwambia kitu kama hicho eti tena bila aibu wakati huo huo analipwa yeye vizuri tu.
 
Utimamu wa mwili ninao mkuu,naomba tu msaada wa jinsi ya kuungwa nimetafta sana
 
Back
Top Bottom