BLACKLIST 12
Senior Member
- Aug 28, 2022
- 128
- 100
Sawa mkuu...navaa nashuka ukoJaribu kuulizia ofisi zinazohusika na mambo ya mlima, ukienda hapo na kuomba kazi wanakuchukua ka nafasi zipo
Ndio mkuu...msaada tafadhali kama unaweza nishika mkonoUnataka kuwa mgumu maana wale wanajiita wagumu
Kwann kaka?Ni kazi ambayo sitakaa nifanye tena katika maisha yangu
Ni kazi ambayo nilifanya once kipindi nipo chuo miaka hyo. Kazi ngumu sana kwa porter alafu wanaopiga mzigo ni maguide.Kwann kaka?
Ugumu wake unakuwa kwenye nini?Ni kazi ambayo nilifanya once kipindi nipo chuo miaka hyo. Kazi ngumu sana kwa porter alafu wanaopiga mzigo ni maguide.
ZingatiaKama una matatizo ya kiafya (upumuaji) aseeeeeee. Usijeukagusa huko kwenye hizi KAZI maana utabebwa na maliasili kuja kukuleta huku chini....kama mfu.....
Ila sisi wabongo kiukweli basi tu. Tunachukuliana kama mbwa huwa inaniuma sana unakuta HR anakwambia kitu kama hicho eti tena bila aibu wakati huo huo analipwa yeye vizuri tu.Mkataba una SEMA PESA UTAKAYO LIPWA NI. 270,000 LAKINI GUIDER ANAKUFOSI USAINI 170,000 , WHERE IS THE HELL DOES 100,000 GOES , KAMA HUTAKI , PITA HIVI .......... DAHHH KAZI YA KITUMWA ILA NDO MAISHA HAYOOOO