Naomba Msaada wa kutoa taarifa ya utapeli

hivi huwezi kutoa taarifa za uhalifu polisi au takukuru mpaka utie timu kituoni?
 
Hii namba kapiga huyu jamaa akijifanya ni Airtel Customer Care na kuniambia amekosea kutuma hela laki moja.Huku akaunti yangu haina hiyo hela.Naomba mnisaidie kumripoti TCRA mnaojua,kanitukana sana nlipomgundua.Namba za Tapeli ni 0683595613
Sasa customer care anapigaje kwa namba binafsi? Mimi akianza tu kujitambulisha nakata hapo hapo
 
TCRA na polisi wangekuwa serious vya kutosha basi hawa wezi wasingekuwa na kiburi hiki walichonacho.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hata akili hawatumii
Mimi amenipigia kwa namba ya airtel yule mwehu.
Halafu mwanaume!
Nikamchamba.
 
Kuna mmoja alinipigia na namba ya TTCL anasema ni mtoa huduma wa Vodacom, nikamsikiliza weeee.. akauliza salio nikamwambia nina kama lakhi 3 hivi, nikaskia sms Imeingia kuicheck et lakhi 5+ means katuma na kuongeza lakhi 2+. Nikafanya yote aliyonambia bonyeza hii.. bonyeza hii yaani menu ya kumtumia yeye ela.

Ilipofika kwenye jina akasema limetokea jina gani? Nikamjibu jina limekuja Kum* Mamk aisee wakuu nilioga mvua ya matusi mpaka mengine ni matusi mapya sjaiii yasikia.

Mwisho akanambia oyaaa we mseng** me ngoja niendelee kutafuta wengine wajinga hamuishi then akakata simu.

**Kitu najiuliza spati jibu ni hawa wahuni wanatoa wapi namba zetu?
Mfano kuna siku nilisajili halotel na skua nimewasiliana na mtu yoyote kwa hiyo namba. Nikaiweka kwenye simu ndog nikaicha, baadae nakuja angalia nakuta sms ya tapeli, nilishangaa sana hadi nikahisi yule wakala ndio tapeli mwenyewe.
 
Wanakula kwa urefu wa kamba zao!
 
Ukienda polisi yasije yakakukuta kama ya yule mjukuu wa kusini.

Ungeweza mwambie mkutane umpe hela yake maana unayo, nenda ukiwa umejiandaa maana na wenyewe huwa wamejiandaa.

Mkukutana mmalizane kiume.
 
Ndebile😃
 
[emoji23][emoji23][emoji23]mkuu hapo juu atakua kayaoga pia ndokinachomuuma
 
Hii namba kapiga huyu jamaa akijifanya ni Airtel Customer Care na kuniambia amekosea kutuma hela laki moja.

Huku akaunti yangu haina hiyo hela.

Naomba mnisaidie kumripoti TCRA mnaojua, kanitukana sana nlipomgundua.Namba za Tapeli ni 0683595613
Kuna moja mama mmoja alipigiwa simu kama hivyo akaambiwa ni ya kutoka NMB, akataja password zake na jamaa wakalamba Tshs. 7.2m za mama. Kuja kufuatilia, voda wakakomaa kuwa hawahusiki wao bali aende polisi. TCRA hawakuamua hiyo kesi kwa madai ipo polisi.
 
TCRA na polisi wangekuwa serious vya kutosha basi hawa wezi wasingekuwa na kiburi hiki walichonacho.
Kuna moja tigo walilimwa na TCRA kwa uzembe wao wa kutofunga line baada ya mteja kuomba ifungwe mara tu alipopoteza simu. Jisomeeni hapa







 
[emoji23][emoji23][emoji23]mkuu hapo juu atakua kayaoga pia ndokinachomuuma
Avumilie tu. Me nilioga matusi mpaka mengine ni mapya yaani sjaii yasikia kabisa na nikatulia.
Yaani tapeli alikua kama anachambua ukoo wangu hivi, anantukania mke, mama, mjomba, shangazi anaenda hadi kwa babu na bibi me nasikiliza tuu.
 
Avumilie tu. Me nilioga matusi mpaka mengine ni mapya yaani sjaii yasikia kabisa na nikatulia.
Yaani tapeli alikua kama anachambua ukoo wangu hivi, anantukania mke, mama, mjomba, shangazi anaenda hadi kwa babu na bibi me nasikiliza tuu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nacheka kama mazuri hakika wanatia hasira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…