Naomba Msaada wa kutoa taarifa ya utapeli

Naomba Msaada wa kutoa taarifa ya utapeli

hivi huwezi kutoa taarifa za uhalifu polisi au takukuru mpaka utie timu kituoni?
 
Hii namba kapiga huyu jamaa akijifanya ni Airtel Customer Care na kuniambia amekosea kutuma hela laki moja.Huku akaunti yangu haina hiyo hela.Naomba mnisaidie kumripoti TCRA mnaojua,kanitukana sana nlipomgundua.Namba za Tapeli ni 0683595613
Sasa customer care anapigaje kwa namba binafsi? Mimi akianza tu kujitambulisha nakata hapo hapo
 
Vipi haja kuporomoshea matusi baada ya kumgundua? Siku hizi wamerudi kwa kasi ya ajabu. Dawa akishaanza kuongea upuuzi wake, unamkatia tu simu. Ukimpa nafasi, atakubughudhi siku nzima. Na ukimshtukia tu, anakutukana.

By the way, hawa mbwa sijui wanapata wapi kiburi! Na ukiwa na biashara ya maiamala, wanakuwinda kila siku ili tu wakutapeli. Hawaogopi cha TCRA wala Polisi!
TCRA na polisi wangekuwa serious vya kutosha basi hawa wezi wasingekuwa na kiburi hiki walichonacho.
 
Mie kuna mmoja alinipigia akadai kuna ela imeingia kimakosa. Nikamwambia mbona sijaiona alikuwa anadai yeye ni mtoa huduma wa airtel mda huo kapiga kwa laini ya halotel, si akauliza kwani una sh ngap nikamjibu kuna laki na mda huo sins kitu. Akakata simu then nikaona sms ya muamala wa kutunga kama laki na themanini hv, akapiga tena kuuliza kama nimeuona jibu langu ilikuwa ni sijaona alituma na kupiga hadi akaacha.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hata akili hawatumii
Mimi amenipigia kwa namba ya airtel yule mwehu.
Halafu mwanaume!
Nikamchamba.
 
Kuna mmoja alinipigia na namba ya TTCL anasema ni mtoa huduma wa Vodacom, nikamsikiliza weeee.. akauliza salio nikamwambia nina kama lakhi 3 hivi, nikaskia sms Imeingia kuicheck et lakhi 5+ means katuma na kuongeza lakhi 2+. Nikafanya yote aliyonambia bonyeza hii.. bonyeza hii yaani menu ya kumtumia yeye ela.

Ilipofika kwenye jina akasema limetokea jina gani? Nikamjibu jina limekuja Kum* Mamk aisee wakuu nilioga mvua ya matusi mpaka mengine ni matusi mapya sjaiii yasikia.

Mwisho akanambia oyaaa we mseng** me ngoja niendelee kutafuta wengine wajinga hamuishi then akakata simu.

**Kitu najiuliza spati jibu ni hawa wahuni wanatoa wapi namba zetu?
Mfano kuna siku nilisajili halotel na skua nimewasiliana na mtu yoyote kwa hiyo namba. Nikaiweka kwenye simu ndog nikaicha, baadae nakuja angalia nakuta sms ya tapeli, nilishangaa sana hadi nikahisi yule wakala ndio tapeli mwenyewe.
 
Vipi haja kuporomoshea matusi baada ya kumgundua? Siku hizi wamerudi kwa kasi ya ajabu. Dawa akishaanza kuongea upuuzi wake, unamkatia tu simu. Ukimpa nafasi, atakubughudhi siku nzima. Na ukimshtukia tu, anakutukana.

By the way, hawa mbwa sijui wanapata wapi kiburi! Na ukiwa na biashara ya maiamala, wanakuwinda kila siku ili tu wakutapeli. Hawaogopi cha TCRA wala Polisi!
Wanakula kwa urefu wa kamba zao!
 
Ukienda polisi yasije yakakukuta kama ya yule mjukuu wa kusini.

Ungeweza mwambie mkutane umpe hela yake maana unayo, nenda ukiwa umejiandaa maana na wenyewe huwa wamejiandaa.

Mkukutana mmalizane kiume.
 
Mkuu labda kama una access na Intelpol, polisi hawa wa Simoni Sirro ni majanga matupu... jiandae mtuhumiwaa wako awakatie hela kidogo tu hata haifiki 20,000/ alafu wewe mshitaki ndio utageuziwa kibao! Nimeyashuhudia wiki jana! Na nimeapa sitakuja kimpeleka mtu polisi hata nikimshika ugoni.....ni mwendo wa kumalizana sisi kwa sisi!
Ndebile😃
 
Kuna mmoja alinipigia na namba ya TTCL anasema ni mtoa huduma wa Vodacom, nikamsikiliza weeee.. akauliza salio nikamwambia nina kama lakhi 3 hivi, nikaskia sms Imeingia kuicheck et lakhi 5+ means katuma na kuongeza lakhi 2+. Nikafanya yote aliyonambia bonyeza hii.. bonyeza hii yaani menu ya kumtumia yeye ela.

Ilipofika kwenye jina akasema limetokea jina gani? Nikamjibu jina limekuja Kum* Mamk aisee wakuu nilioga mvua ya matusi mpaka mengine ni matusi mapya sjaiii yasikia.

Mwisho akanambia oyaaa we mseng** me ngoja niendelee kutafuta wengine wajinga hamuishi then akakata simu.

**Kitu najiuliza spati jibu ni hawa wahuni wanatoa wapi namba zetu?
Mfano kuna siku nilisajili halotel na skua nimewasiliana na mtu yoyote kwa hiyo namba. Nikaiweka kwenye simu ndog nikaicha, baadae nakuja angalia nakuta sms ya tapeli, nilishangaa sana hadi nikahisi yule wakala ndio tapeli mwenyewe.
[emoji23][emoji23][emoji23]mkuu hapo juu atakua kayaoga pia ndokinachomuuma
 
Hii namba kapiga huyu jamaa akijifanya ni Airtel Customer Care na kuniambia amekosea kutuma hela laki moja.

Huku akaunti yangu haina hiyo hela.

Naomba mnisaidie kumripoti TCRA mnaojua, kanitukana sana nlipomgundua.Namba za Tapeli ni 0683595613
Kuna moja mama mmoja alipigiwa simu kama hivyo akaambiwa ni ya kutoka NMB, akataja password zake na jamaa wakalamba Tshs. 7.2m za mama. Kuja kufuatilia, voda wakakomaa kuwa hawahusiki wao bali aende polisi. TCRA hawakuamua hiyo kesi kwa madai ipo polisi.
 
TCRA na polisi wangekuwa serious vya kutosha basi hawa wezi wasingekuwa na kiburi hiki walichonacho.
Kuna moja tigo walilimwa na TCRA kwa uzembe wao wa kutofunga line baada ya mteja kuomba ifungwe mara tu alipopoteza simu. Jisomeeni hapa

Screenshot_20220215-103844_Drive.jpg

Screenshot_20220215-103901_Drive.jpg

Screenshot_20220215-103916_Drive.jpg

Screenshot_20220215-104023_Drive.jpg

Screenshot_20220215-104035_Drive.jpg

Screenshot_20220215-103832_Drive.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23]mkuu hapo juu atakua kayaoga pia ndokinachomuuma
Avumilie tu. Me nilioga matusi mpaka mengine ni mapya yaani sjaii yasikia kabisa na nikatulia.
Yaani tapeli alikua kama anachambua ukoo wangu hivi, anantukania mke, mama, mjomba, shangazi anaenda hadi kwa babu na bibi me nasikiliza tuu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nacheka kama mazuri hakika wanatia hasira
 
Back
Top Bottom