Ndumbayeye
JF-Expert Member
- Jan 31, 2009
- 7,413
- 4,020
hivi huwezi kutoa taarifa za uhalifu polisi au takukuru mpaka utie timu kituoni?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa customer care anapigaje kwa namba binafsi? Mimi akianza tu kujitambulisha nakata hapo hapoHii namba kapiga huyu jamaa akijifanya ni Airtel Customer Care na kuniambia amekosea kutuma hela laki moja.Huku akaunti yangu haina hiyo hela.Naomba mnisaidie kumripoti TCRA mnaojua,kanitukana sana nlipomgundua.Namba za Tapeli ni 0683595613
TCRA na polisi wangekuwa serious vya kutosha basi hawa wezi wasingekuwa na kiburi hiki walichonacho.Vipi haja kuporomoshea matusi baada ya kumgundua? Siku hizi wamerudi kwa kasi ya ajabu. Dawa akishaanza kuongea upuuzi wake, unamkatia tu simu. Ukimpa nafasi, atakubughudhi siku nzima. Na ukimshtukia tu, anakutukana.
By the way, hawa mbwa sijui wanapata wapi kiburi! Na ukiwa na biashara ya maiamala, wanakuwinda kila siku ili tu wakutapeli. Hawaogopi cha TCRA wala Polisi!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mie kuna mmoja alinipigia akadai kuna ela imeingia kimakosa. Nikamwambia mbona sijaiona alikuwa anadai yeye ni mtoa huduma wa airtel mda huo kapiga kwa laini ya halotel, si akauliza kwani una sh ngap nikamjibu kuna laki na mda huo sins kitu. Akakata simu then nikaona sms ya muamala wa kutunga kama laki na themanini hv, akapiga tena kuuliza kama nimeuona jibu langu ilikuwa ni sijaona alituma na kupiga hadi akaacha.
Kama Airtel hawakuhusika kwanini waligoma kutoa taarifa walizoombwa?!Ni muhimu kuripoti hao matapeli kote polisi na kwa mtoa huduma ili kuzuia wasitapeli wengine. Soma jamaa alivyotapeliwa hapa hela yake na ushirikiano hafifu aliopewa na Airtel
View attachment 2119759
View attachment 2119761
View attachment 2119762
View attachment 2119764
View attachment 2119760
View attachment 2119763
Wanakula kwa urefu wa kamba zao!Vipi haja kuporomoshea matusi baada ya kumgundua? Siku hizi wamerudi kwa kasi ya ajabu. Dawa akishaanza kuongea upuuzi wake, unamkatia tu simu. Ukimpa nafasi, atakubughudhi siku nzima. Na ukimshtukia tu, anakutukana.
By the way, hawa mbwa sijui wanapata wapi kiburi! Na ukiwa na biashara ya maiamala, wanakuwinda kila siku ili tu wakutapeli. Hawaogopi cha TCRA wala Polisi!
🤣Nikamjibu jina limekuja Kum* Mamk aisee
we usiniambie[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hata akili hawatumii
Mimi amenipigia kwa namba ya airtel yule mwehu.
Halafu mwanaume!
Nikamchamba.
Ndebile😃Mkuu labda kama una access na Intelpol, polisi hawa wa Simoni Sirro ni majanga matupu... jiandae mtuhumiwaa wako awakatie hela kidogo tu hata haifiki 20,000/ alafu wewe mshitaki ndio utageuziwa kibao! Nimeyashuhudia wiki jana! Na nimeapa sitakuja kimpeleka mtu polisi hata nikimshika ugoni.....ni mwendo wa kumalizana sisi kwa sisi!
[emoji23][emoji23][emoji23]mkuu hapo juu atakua kayaoga pia ndokinachomuumaKuna mmoja alinipigia na namba ya TTCL anasema ni mtoa huduma wa Vodacom, nikamsikiliza weeee.. akauliza salio nikamwambia nina kama lakhi 3 hivi, nikaskia sms Imeingia kuicheck et lakhi 5+ means katuma na kuongeza lakhi 2+. Nikafanya yote aliyonambia bonyeza hii.. bonyeza hii yaani menu ya kumtumia yeye ela.
Ilipofika kwenye jina akasema limetokea jina gani? Nikamjibu jina limekuja Kum* Mamk aisee wakuu nilioga mvua ya matusi mpaka mengine ni matusi mapya sjaiii yasikia.
Mwisho akanambia oyaaa we mseng** me ngoja niendelee kutafuta wengine wajinga hamuishi then akakata simu.
**Kitu najiuliza spati jibu ni hawa wahuni wanatoa wapi namba zetu?
Mfano kuna siku nilisajili halotel na skua nimewasiliana na mtu yoyote kwa hiyo namba. Nikaiweka kwenye simu ndog nikaicha, baadae nakuja angalia nakuta sms ya tapeli, nilishangaa sana hadi nikahisi yule wakala ndio tapeli mwenyewe.
Namba yako unaninyima, kumbe pembeni unapigiwa hadi na matapeli😒😒[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hata akili hawatumii
Mimi amenipigia kwa namba ya airtel yule mwehu.
Halafu mwanaume!
Nikamchamba.
Ndio maana wakalimwa na TCRA kwa sababu ya uzembe huo.Kama Airtel hawakuhusika kwanini waligoma kutoa taarifa walizoombwa?!
Kuna moja mama mmoja alipigiwa simu kama hivyo akaambiwa ni ya kutoka NMB, akataja password zake na jamaa wakalamba Tshs. 7.2m za mama. Kuja kufuatilia, voda wakakomaa kuwa hawahusiki wao bali aende polisi. TCRA hawakuamua hiyo kesi kwa madai ipo polisi.Hii namba kapiga huyu jamaa akijifanya ni Airtel Customer Care na kuniambia amekosea kutuma hela laki moja.
Huku akaunti yangu haina hiyo hela.
Naomba mnisaidie kumripoti TCRA mnaojua, kanitukana sana nlipomgundua.Namba za Tapeli ni 0683595613
Kuna moja tigo walilimwa na TCRA kwa uzembe wao wa kutofunga line baada ya mteja kuomba ifungwe mara tu alipopoteza simu. Jisomeeni hapaTCRA na polisi wangekuwa serious vya kutosha basi hawa wezi wasingekuwa na kiburi hiki walichonacho.
Avumilie tu. Me nilioga matusi mpaka mengine ni mapya yaani sjaii yasikia kabisa na nikatulia.[emoji23][emoji23][emoji23]mkuu hapo juu atakua kayaoga pia ndokinachomuuma
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nacheka kama mazuri hakika wanatia hasiraAvumilie tu. Me nilioga matusi mpaka mengine ni mapya yaani sjaii yasikia kabisa na nikatulia.
Yaani tapeli alikua kama anachambua ukoo wangu hivi, anantukania mke, mama, mjomba, shangazi anaenda hadi kwa babu na bibi me nasikiliza tuu.