Naomba msaada wa kuujua mji wa Mafinga

Mji mzuri ila kuwa na roho wa Mungu au uende kujikamlisha kwenu watu wa pale wana imani zao za ajabu kwenye biashara, maisha ni rahisi sio ghali sana kama una mipango thabiti utapiga hatua. Wahindi na wachina wana roho ngumu ukifanya nao biashara watakulalalia sana na wanaenda kuutawala mji kwa viwanda vyao vya mazao ya misitu. Ela ipo Mungu akusaidie
 
Asante kwa ufafanuzi mzuri, ubarikiwe sana
Huko kuna pepo la UKIMWI, chunga saba kijana tena chunga kabisa.
Hilo halina shida sana
Popote ulipo Jenifer msigala jua nakukumbuka sana .

Mafinga nitarudi
Duuu
 
Bariki wa ndugu
 
Hiyo ni kazi ndogo ,asante kwa mwongozo
 
Vipi upande wa nyumba za kupanga kwa nyumba ya vyumba viwili na sebule kodi kiasi gani
 
Oya demu yuko Morogoro hapa anafanya kazi kiwandani hapa Dimon kingolwila kiwanda cha tumbaku mzee c anakimwili kidogo dogo halafu cheupe na sio mlefu saaana
Dah kaka umeniumiza sana .
Haujamkula wewe ?
Mwambie yule daktari mdogo kuliko wote Mbeya DC nipo namtafuta lakini pia mwambie zile mali za urithi nilizodhulumiwa sasa nimeshinda kesi nipo zangu nakula urabu huku Tunduma .

Mwambie aje kwasasa hela sio shida maana mpaka hela hii ya urithi iishe atakuwa ameshajipata .

Ikiwa uko serios kaka naomba muombe namba yake nitumie , mimi nitakulipa kwa kunipa namba ya huyo chichidori wangu

moi wa kitaa
 
mkuu umemaliza, nipo mafinga kijiji cha ifwagi apa napga kaz mradi wa barabara ya lami na kampuni ya china henan (chico) km 14 kutoka mtiri,ifwagi hadi mkuta. Oya mafinga hela ipo yani hapa bush ifwag kuna magest house mazuri na ya bei 15k na za 5k zpo, mda wote scania znapta na mbao au magogo na vijana wana hela kama machmbo vle, pombe znanyweka balaa hata wa mafinga town hawagus, malaya ni wakal balaa na wanataka 2ok kulala adi asubuh. Kifup hela ipo na vjana wa huku hawakosi kaz labda utake mwenyewe kutoingia mstun kukata mbao au ujchanganye kwenye u labour kwa mchina road ule 16k per day ingawa unalpwa mwsho wa mwez. Dereva ana kula 18k per day , operator 2ok waliosoma zaid ndo balaa. Now nipo apa osmani mgahawa nala kvant na wana wa road na wamisitu, mchna leo katupa off twend town ila hatuend cz kila kitu kpo karbu mafnga
 
Umenipa sana moyo , hasa kwenye hicho kipengele cha kijana kutokosa kazi kama ni mpambanaji nashukuru sana.
 
Vipi kwa upande wa kilimo cha mboga mboga ,nyanya,tikiti maji. Na mengine ya muda mfupi. Imekaaje
 

Mafinga ipo ndan ya wilaya ya mufindi mkoa wa iringa.ni maarufu sana kwa kilimo cha mbao unaotukana na msitu wa sao hili pia ni mji ambao upo barabarani tu rahis kufikika kama unatoka iringa au mbeya.
Wahehe wakinga wabena hao ni wengi zaid pale japokuwa yapo baadh ya makabila wahamiaji kibiashara kama wachaga wanyakyusa.
Hali ya hewa pale ni baridi hasa kipindi cha miez ya sita ,kizur zaid barid ya pale ni kama ya ulaya hukufanya unawiri zaidi
Umeme maji hospitali usafiri wa kutoka nakuingia upo bwerere.
Pesa ipo na upatikanaji wake ni rahis kama una mtaji wa kutosha
Unaweza kuni dm tukapeana mawili matatu zaidi kuhus mafinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…