Naomba msaada wa kuujua mji wa Mafinga

Naomba msaada wa kuujua mji wa Mafinga

Oya demu yuko Morogoro hapa anafanya kazi kiwandani hapa Dimon kingolwila kiwanda cha tumbaku mzee c anakimwili kidogo dogo halafu cheupe na sio mlefu saaana
Namjua anakaa station kule juz nlimkuta maeneo ya kisenga bar
 
Vipi upande wa nyumba za kupanga kwa nyumba ya vyumba viwili na sebule kodi kiasi gani

Mageto ni wewe tu, 150 hadi 120 chumba sebule na kijiko fulani hivi. Self contained. Sijajua wewe ni me ama ke? Sema haya mambo ya kuficha majina mkuu ungepata hifadhi bila kujali jinsi yako [emoji23] kwa hii miezi 2.
 
Jinsia ni me ,umri miaka 30 familia ya mke na mtoto mmoja.
 
Mageto ni wewe tu, 150 hadi 120 chumba sebule na kijiko fulani hivi. Self contained. Sijajua wewe ni me ama ke? Sema haya mambo ya kuficha majina mkuu ungepata hifadhi bila kujali jinsi yako [emoji23] kwa hii miezi 2.
Asante kwa utu, kikubwa sehemu ya kupanga niipate kodi nitapambana nayo tuu kiongozi.
 
Karibu tupo iyo pesa ukitulia tu unapata Mara tatu yake kwa kilimo Cha viazi mviringo
Kilimo cha mazao ya mda mfupi napenda pia. Huwa nalima vipi kwa zao la nyanya je
 
Naomba msaada wa kuujua mji wa Mafinga.

Mimi ni kijana nahitaji kwenda kuanzisha maisha mji wa Mafinga. Nina ujuzi wa ICT, kilimo cha mboga mboga n.k, mtaji ni milion 6.
1. Historia yake.
2. Makabila yake, mila na desturi.
3. Huduma za kijamii.
4. Uchumi kwa ujumla.
 
Mkuu,
Ni mji mzuri, biashara ni nyingu, sema vitu ni gharama kidogo.
Biashara kubwa pale ni mbao na kilimo cha miti. Lakin pia kilimo cha mbogamboga km nyanya utatoboa. IT pia utatoboa
Hali ya hewa ni safi, barid isiyoumiza sana.
Kabila ni wahehe na wabena, ni wakarimu ila hawapendi kero au kukerwa, wanahasira na niwachawi kiaina.
Mafinga ni town, na ni along highway, ni pazuri sana, sio mbali na makambako na iringa town. Road ya pale I mean lami ni kiwango sana
Jiahadhari na UKIMWI.
 
Suala la ukimwi ni serious sana , nitajihadhari mkuu
 
Vipi upatikanaji a ardhi(shamba) kwa kununua na kukodi , na viwanja kwa ajili ya makazi nje ya mji kidogo. Vinaendaje bei
 
1694936185231.jpg
 
Naomba msaada wa kuujua mji wa Mafinga.

Mimi ni kijana nahitaji kwenda kuanzisha maisha mji wa Mafinga. Nina ujuzi wa ICT, kilimo cha mboga mboga n.k, mtaji ni milion 6.
1. Historia yake.
2. Makabila yake, mila na desturi.
3. Huduma za kijamii.
4. Uchumi kwa ujumla.
Ukiitaja Mafinga unanifanya nimkumbuke Clementine Myamba, alomaliza F4 1992 pale Iringa Girls.......
 
Back
Top Bottom